Mwanamwaiche
JF-Expert Member
- Apr 13, 2022
- 665
- 968
Habarini nyote!
Ni staajabu ya pekee almost in everything thing ni vululuvululu kila kitu ushabiki ukichaa tu logic na reasoning sifuri, kukubaliana vitu obvious hamna kila kitu ukichaa tu, critical and analytical perspectives za issues hamna. Taifa hili linaenda wapi?
Tugutuke na tusaidiane kuokoa taifa popote ulipo.
Nawasilisha