Kukosoa safari za Rais kwa kusema anasafiri sana ni upuuzi wa kiwango cha juu

Drc KONGO MOBUTU SESEKO

ALIKUWA ANAENDA KULA BATA

ULAYA HII NCHI ILIDUMAA

PIA NCHI ZA MOROCO , MISIRI , SOUTH AFRICA , ALGERIA NIGERIA MARAIS WAKE HUWA WANASAFARI CHACHE SANA NJE MFANO YULE MTAWALA WA MORO

MWAKA 2019 NA 2020 KAFANYA SAFARI 3 ZA NJE NA UCHUMI WAKE UKO JUU


WAZIRI MKUU WA UINGEREZA AMEFANYA SAFARA TATU ZA NJE YA NCHI KWA MIAKA 2


SASA HII MIEZI 6 MTU AMEZUNGUKA NCHI TISA

GHARAMA YA SAFARI YA RAISI KWENDA NJE YA NCHI SIO CHINI YA 1.3 BILLION

HASA AKIENDA ULAYA , ASIA, AMERICA, INAZIDI HIYO

Hizo hera zikiwekwa kwenye miradi ya ndani kama vituo vya afya au barabara au mikopo kwa vijana

Huoni kuna tija sasa ukaa unasifia asipoenda ulaya kwani tanzania hataendelea GADAFI ALIKUWA HAZUNGUKI LIBYA ILIKUWA VIZURI SANA

NADHANI TUKUBALIANE AU ILE MUVI YA ROYAL NDO INAENDA KUCHEZWA ZAID HUKO
 
Kikwete alisafiri na tuliona matokeo kikwete angekua rais hadi leo gdp tungekua tumefika dola elfu kumi per capita income
 
Hujui international relationship na diplomasia ya nchi
 
Misukule ya mwendazake utawaweza mkuu
 
Hata mimi nasema wanaokosoa safari za Rais wana matatizo. Hata asingesafiri pia wangesema. Tuangalie na umuhimu wa safari; baraza kuu la UN ni mkutano muhimu sana
 
Maskini bana anaona kusafiri rais ni raha ilopitiliza kweli kuumbe ni maumivu tu kuhemea fala sana umaskini! wanaona km ana faiduuuuuuuukuumbe mwenzao hana izo
 
Kuhoji hoji safari za Rais wetu Mama Sami....ni Ujinga uso kifani!!! kwani nyie wabongo mna nini hasa mnachochangia ktk Dunia hii ya leo chenye Manufaa??? Angalia wenzenu wanafanya tafiti anga za juu, ili mkaishi wote siku iki tick!

hawalali wanafanya tafti mbali mbali, tafiti dawa za ukimwi, ebora, Covid na sasa Omicron, nyie Eti madini, dhahabu, almasi mnajua kuzichimba? haya mmechimba mnazo halafu mnazifanyaje kwanza?

Hao wachimbaji unaowaona leo wametafutwa na taasisi ya Rais waliopita na kuwabembeleza waje wachimbe, watugawie kidogo, kile wanachopata na walio enda kuomba ni watangulizi wa Samia!!...bado kuna mengi tusiyo yajua!!

tunawataka waje wachimbe watugaie wao mgawo wetu... ili na sisi tule na watoto tunao zaa km panya! tusife!..eti hilo nalo mmenuna...walipo susa mlifulia Magwanji, Mapapai, mlikuwa nusu mfu! au siyo nyie??

Hutaki chimba mwenyewe, ufanye mwenyewe!! ....... Mkonge huo hapo wamewasusia mpaka leo hamjui muufanyie nini!! michai , kahawa Pamba wana fanya wao mpaka leo! hiyo midomo yenu itawaponza mtakufa!! mwache Mama akatutembezee kopo!!

Hela yenyewe mnayo tumia asilimia kubwa ni ya Misaada ya hao hao, ndege mnazopanda ni za hao hao watoa misaada! sababu weusi hasa wabongo hamna mchango wowote Duniani au chenu hapo!!...ajabu sasa eti mnaumia???? yeye kupanda hilo pipa ambalo ni km Bus tu!!.... kwanza shida tupu! OK! akipanda Meli kwanza ndo gharama zaidi!

Naona wanaompinga Mama sana ni wenyeji wa Mbagala, chanika, gongola mboto, katavi huko nk!! ambao hata hawakuwahi kupanda Sumri! ile midege ni sawa tu na Dar express! michosho tu! eti mnakuwa na kinyongo!! sasa akae hapo Magogoni mtakula nini mbwa nyie!!!

Kazi hamtaki kufanya kutwa kucha na tuvikombe twa kahawa vibarazani lool!!! wachezeeeni hao hao ila mie nikija hapo Magogoni mbona mtayamba kifukuto!! kenge kabisa nyie .....Mama Sami!! piga kaziiiii bana......mpaka kieleweke

Yeyote humu akim - Mind Mama Sami-- hatutamjali, wewe-- vimbaaa mpaka upasuke ufe!!! ukifa mzoga wako huo ni faida kwa kunguru hawana msosi Bongo!!

Sasa nimejua ndo maana Damu za babu zenu hizihizi mliuza ndg zenu utumwani kwa ujinga km huu iviivi!! mkashindwa kabisaa, kuwakomboa, mzungu akawaswaga mpaka pwani tena na fimbo tu....

..ajabu sasa hkn Jiafrica hata moja Bongo aliye simama kuwa tetea nduguze hao, hadi mzungu mwenyewe alipojionea ujinga huu!! akaacha, eti bado lawama mkampatia Mzungu huyohuyo! Some times Mzungu mnamwonea sana bana aa!!aa!!

Na yeye sasa alisha gundua mlivyo mijinga!!! mnavyopingana km Majuha!! ...yaani hapo ndo kodi hatoi kabisaaa!! wkt mnapigana yeye anapita ivi....km DRC ya leo,.... nyie piganeni lkn yeye ndo kwanzaaa!! anachimba zaidi!

Mama nikumtia moyo avumbue kitu huko atuletee!! na sisi tuwajue japo kidogo!! kwa wale mnaopinga ebu niwaulize kitu dhahabu mnazifanyia nini cha maana hapa Bongo?...anaepandisha thamani ya Dhahabu nani?.....
 
jiwe kuto safiri...ni kwa kuwa hakujua kiingereza.wale waliojua kiingereza aliwasema vibaya eti wana vyeti fake...mpaka mkurugenzi wa Iucd..alimchukia but akapata teuzi UNO faster....akanuna eti alitumwa na mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…