Kukosoa wanasiasa haiwezi kuwa ‘UDINI’

Kukosoa wanasiasa haiwezi kuwa ‘UDINI’

CCM wanatumia mwamvuli wa dini miaka yote na wanajua namna ya kuwatumia wavaa kobazi kwasababu wanajua hawa jamaa ni watu wa kupanic na hawajiamini na Imani Yao..
 
Pamoja na Yote haya ila Maaskofu wamekurupuka kwa Tamko linalofanana na matamko ya vyama vya siasa na hilo ndilo tatizo kubwa. Wangejitofautisha na Chadema wangefanikiwa zaidi.
 
Pamoja na Yote haya ila Maaskofu wamekurupuka kwa Tamko linalofanana na matamko ya vyama vya siasa na hilo ndilo tatizo kubwa. Wangejitofautisha na Chadema wangefanikiwa zaidi.
Kwani kutoa maoni yako unatakiwa yasifanane na mtu mwingine kama unaona yapo sawa? Kama wangetoa maoni yanayo fanana na ya serikali ungesema wamekurupuka? Tumia Akili yako vizuri kufikiri.
 
74A05A47-9704-4691-AA80-F147FB567434.jpeg

1BD30D0D-D304-469A-B4DC-EAE59E809746.jpeg

25F8D253-536D-430E-9CD4-9D74111598AD.jpeg
 
Back
Top Bottom