SHAIDI
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 291
- 141
sawa mr. chacha nitashukuru kupata hiyo ramani nimenunua hekari mbili pembeni ya mji hapa dar, nataka kuanza ujenzi wa mabanda ila eneo liko wazi kabisa ni kama shamba, ni vizuri kuzungusha ukuta kwanza then ndiyo nianze hayo mabanda au hata mabanda tu