Kuku aina ya kuroiler from India

mkuu tupe na mchango wa vifanga 100 kwanzia tukiwanunua mpk hio miezi 4 makadirio ni shilingi ngap matumizi maana utakuja kuta faida ni kidogo sana
 
Mkuu kwa plan hii

Inahitaji uzalishe vifaranga mwenye faida inakua kubwa tu kwasababu kuku wa kienyeji mwenye umri wa miezi 4 unaweza kumuuza elf 10 nk...
 
Mnaeleza tu faida changamoto zake hamfafanui.
 
Hapo hakuna cha maana ulichoeleza zaidi ya mipasho,wabongo tushawajua kwa kusifia vitu tu bila kuwa na namna ya kufikia huo uzuri.Jazia nyama ueleweke.
 
Chakula,umeme,maji na matunzo mengine bei gani? Bei yajumla kuku mmoja bei gani?
 
Hapo hakuna cha maana ulichoeleza zaidi ya mipasho,wabongo tushawajua kwa kusifia vitu tu bila kuwa na namna ya kufikia huo uzuri.Jazia nyama ueleweke.
tatizo umezoea kusikiliza taarabu, lazima unaona mipasho
 
Maswali ya kitoto kama haya huwa sijibu
Huwezi kujbu kwasababu umechemka. Ni sawa mtu aje hapa aseme fanya biashara ya kuuza vitumbua. Kitumbua kimoja 200, ukiuza 100 kwa siku unapata 20,000/-. Bila kutueleza gharama za kuzalisha kitumbua kimoja.
 
Acha upuuzi, sina muda wakupoteza kuanza kukupa mchanganuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…