CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
- #21
nimekupata Mkubwa kweli hii ni mbegu ya maana, vp hiyo company unayosema inaagiza kutoka INDIA hawaagizi hawa kuku wa malawi, au hawa kuku wa malawi (weus) ma wale wekundu wanawaita (kuchi) wapi wanataga vzuri na hawasumbui kwa magonjwa! au ni kuku aina gani wanaotaga vizur na wanapatikana hapa Bongo?
Mkuu Kuku wa Malawi ni huku Bongo, Ila kama nilivyo sema hawa ni Austrolopu ila wali crosiwa na kuku wa Kienyeji kupata hao wa Malawi, Jamaa hawaagizi Kuku wakubwa, wanaagiza vifaranga au Fertilized eggs, hivyo labda ni kuulizie fertilized eggs ya hawa kuku wa Austrolop kama una mashine utawaangua na kuwa na F1 YA AUSTROLOP
Na kuhusu Kuku wanao taga mayai mengi nazani Chotara wote hutaga mayai mengi kwa sababu hawaatamii na huiga tabia za kuku wa kisasa ingawa wakowanao chukua tabia za kuku wa kienyji na kuatamia,
Magonjwa, hapa kinacho takiwa ni kanuni za ufugaji bora tu, kwa sababu hata kuku wa Kienyeji wanakufa sana kwa magonjwa tena huko Vijijini ndo usiseme wana pukutika sana, hivyo kikuba ni kuzingatia kanun bora za kuwafuga ikwemo Chanjo na chakula chao plus sehemu nzuri ya kulala