Naskia kuku wakiugua coryza hawatapona kabisa bali watabaki kuwa carriers, na hizi signs za coryza zitakuwa zinajirudia rudia na itahitajika wawe wanapewa hizo antibiotics kila signs zinaporudi. Hii ni kweli mkuu?huyo/hao kuku anaweza kua anaumwa ugonjwa wa coryza maana sijaona masundosundo (nodules) ningesema ni ndui, ama pia hujasema kama anatembea au amepooza miguu na mabawa ningesema ni kideri.
ugonjwa (infectious coryza) unaenezwa kwa njia ya hewa, chakula na maji hivyo zingatia usafi katika banda na pia kuwe na mzunguko wa hewa ya kutosha.
matibabu: nenda duka la madawa ya mifugo la karibu yako kawaeleze tatizo watakupa appropriate antibiotic (dawa husika).
kila la heri
Naskia kuku wakiugua coryza hawatapona kabisa bali watabaki kuwa carriers, na hizi signs za coryza zitakuwa zinajirudia rudia na itahitajika wawe wanapewa hizo antibiotics kila signs zinaporudi. Hii ni kweli mkuu?
polesana kukuwako anaumwa ugonjwa wa upungufu wa vitamini A. hauna tiba. unakingwa kwa kuwapa majani mabichi.
ni sawa ulivozungumza lakini ni vema kujua anawalisha chakula gani na anawafuga ufugaji upi kama ni huria au wa ndani. mara nyingi upungufu wa vitamins huwakumba kuku wanaofugiwa ndani (intensive) ambapo moja ya dalili ni kutokea kwa madubwana machoni (keratinization of the third eyelid).
ila kwa hiyo case mimi sidhani kama ni avitaminosis.