Kuku Chotara wa kufuga wanapatikana

Kuku Chotara wa kufuga wanapatikana

mshauri

Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Nauza kuku chotara wa miezi mitatu mpaka mitano..wanapatikana mbezi msumi.
 
Asante,,,,ninamaswali mawili,,,,,,1.)chotara gani,? Machotara wanamajina,,2) bei gani unauza?
 
Aina ya chotara(1)rhode island red.(2)light sussex...na bei miezi mitano12000/=,miezi minne 10000/=,miezi mitatu 8500/=..
 
Nimeshotowa aina ya chotara pamoja na bei zake angalia ujumbe wa nyuma utaona
 
Back
Top Bottom