Hao ni chotara wa aina gani? I mean ni mchanganyiko wa kuku aina gani na wana sifa zipi za msingi?njoo magomeni mapipa mtaa wa kizingo nyumba no 41, kifaranga cha siku moja sh 1700 kinachanjo ya marex tayari kama uo willing ni PM,
Hao ni chotara wa aina gani? I mean ni mchanganyiko wa kuku aina gani na wana sifa zipi za msingi?
kuku mbegu ya malawi hawa ni weusi na wanataga vizuri na pia hawana nyama nyingi.
mbegu ya australia ni wekundu wana nyama nyingi na uwezo wao wa kutaga ni kawaida tu.
hawana uwezo wa kuaatamia. nipe namba yako kama upo willing kununua ni PM kama utojal.