Kuku chotara

Kuku chotara

Aneman

Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
24
Reaction score
5
Wadau nahitaji kuku chotara kwa ajili ya kufuga, anayefahamu tafadhali anipatie namba ya simu au anijulishe ni wapi pa kupata. Mimi nipo Dar.
 
njoo magomeni mapipa mtaa wa kizingo nyumba no 41, kifaranga cha siku moja sh 1700 kinachanjo ya marex tayari kama uo willing ni PM,
 
njoo magomeni mapipa mtaa wa kizingo nyumba no 41, kifaranga cha siku moja sh 1700 kinachanjo ya marex tayari kama uo willing ni PM,
Hao ni chotara wa aina gani? I mean ni mchanganyiko wa kuku aina gani na wana sifa zipi za msingi?
 
Hao ni chotara wa aina gani? I mean ni mchanganyiko wa kuku aina gani na wana sifa zipi za msingi?

kuku mbegu ya malawi hawa ni weusi na wanataga vizuri na pia hawana nyama nyingi.
mbegu ya australia ni wekundu wana nyama nyingi na uwezo wao wa kutaga ni kawaida tu.
hawana uwezo wa kuaatamia. nipe namba yako kama upo willing kununua ni PM kama utojal.
 
Asante kwa Taarifa Miss ...

Nadhani ndio trend ni watu kukimbilia kuishi Dar. Kwa mambo yote mazuri na huduma zote nzuri ziko Dar. Ninasikitika kutoona taarifa za huduma kama hizi kwa Mikoa ya huku kwetu Tanganyika kama Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, n.k.
 
zitafika tu na nadhani zipo huko tayari sema ni kwa sababu haijulikani. ni PM unipe mawasiliano yako tuwasiliane tuone namna ya kufanya kama upo willing kufanya ufugaji!!
 
Miss chagga nimeku PM please naomba tuwasiliane, ili kufanikisha lengo
 
Back
Top Bottom