Kuku gani nifuge kibiashara?

Ufugaji ni noma sana nataka niamie huko rasmi kwa kwelii… nifuge kuku wa mayai inabdi niende mahali nikapate shule nzito Sanaa kuhusu ufugaji huu alafu niwe serious sasaa..!!!
Yap,kama ni idadi kubwa ni lazima uwe na wasaidizi ila kama ni wacheche komaa tu wangu watakutoa.
 
Ngoja nitafute shamba bagamoyo la kufuga kuku tu maana Bwax ni karibu na Dizzim.
 
Fuga kuku aina ya kuchu being yake wanaanzia 50000- 100000 utanishukuru baaadaye
 
Fuga kuku aina ya kuchu being yake wanaanzia 50000- 100000 utanishukuru baaadaye

..vifaranga vya kuchi vinapatikana wapi?

..kuchi ana sifa zipi mpaka auzwe shs 50,000 mpaka 100,000?

..labda pia ungetueleza wateja wa kuchi ni watu wa aina gani.

..karibu sana utupe elimu wasomaji wako.
 
Hao kuku wa Mayai ndo wanaitwa "Layers"?

Asante mkuu, pia na mimi nimepata mwanga.
 
Ni very usefull...Ubarikiwe sana Mkuu.
 
Ufugaji ni noma sana nataka niamie huko rasmi kwa kwelii… nifuge kuku wa mayai inabdi niende mahali nikapate shule nzito Sanaa kuhusu ufugaji huu alafu niwe serious sasaa..!!!
Huwezi kufa masikini.Tena fuga kuanzia elfu moja,utakuja kutoa ushuhuda.Soko la Mayai liko wazi huitaji hata kutumia nguvu,tofauti na broiler na Kienyeji.Yaani Mayai yaliyopo bado hayajatosheleza soko lililopo.Cha msingi ni kuhakikisha unafata kanuni bora za ufugaji kuzuia vifo,Pia chanjo.Ukifuga kisasa kuku hata hawafi kihivyo.pia mabanda ya kufugia yawe bora.Hakikisha tu unafuga kisasa.Sio kibahiri bahiri.
 
Mkuu samahani naomba angalau makadilio. Hata ukikadilia juu,inaweza kugharim kiasi gani mpk waanze kutaga kuku 1000 wa mayai? Makadilio yasihusishe banda.
 
Mkuu naomba Namba zako.
 
Naweka kambi hapa baadae ntasoma tartiiiibbbee
 
Kama unataka kufuga wa kienyeji nakushauri hivi nunua hata 100 wakiwa wamekua kua wapige posho then watoe .Kwa huku nilipo nilikuwa naletewa wasize yakati kwa buku 4 mi nawapa posho na dawa miezi 4 nawasukuma sokoni kwa 10 hakuna kuchagua we beba tu Kama una 10 lako.Hii kazi ilinishinda kutokana na ulevi na madeni.Ila si haba.
 
Nataman kujua uzur na ubaya wa hawa chotora kiufugaj, kibiashara.......utagani,.nyama n.k
 
Hapa tayari Nina PhD ya ufugaji kuku wa mayai.
Nijuze kifaranga wa mayai Bei gani kwa sasa na gaharama zake kabla ajaanza kutaga jumla gharama ipoje
 
Na je, kwa anayefaham....ningeomba kujua kibiashara ni yupi kati ya hawa (kienyeji, broiler/nyama, mayai, au chotara) ni bora zaidi kuliko wengine kwa kuzingatia vigezo vyote muhimu kama gharama za ufugaji n.k.....??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…