Hivi hiki kipigo kitasahaulika kweli yani tagu siku ile haipiti siku lzm either nisome mahali au nukute watu wanaongelea basi jaman inatosha!
Umeoneee!ole wao siku yao ikifika watatafutana!Unajua kwa nini wanalonga sana?? Hahahahaaaa! Wanaujua vizuri mziki wa man u, na wengine wanatumia reference ya man city kujifariji huku kimoyo moyo wanaomba wasikutane na babu fergie!!