Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,806
Ni kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Wana manyoya machache mwilinini na kifuani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Wana manyoya machache mwilinini na kifuani
Nimekuelewa sana hawa niliona Mimi hivyo hivyo hawana manyoya kabisa kwenye kifua na wananyama nyekunduNi kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Wana manyoya machache mwilinini na kifuani
Bado sijaona sababu yenye mashiko kuuzwa bei kubwa hivyo.Kama nilivyosema mwanzo tukipata mtu anayewajua zaidi kupita kiasi atatoa ucafanuzi mzuri zaidi. Ila chafaida chenye utofauti na kuku wengine. Hawapatwi naagonjwa hovyo. Nyama yake inavimba kupita maelezo. Kingine nachokijua ata akiwa mdogo anauzito wa ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kumnunua laki moja?Ni kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Wana manyoya machache mwilinini na kifuani
Nashukuru sana kiongozi nimewanunua kwa moyo mmoja kabisa sababu tulio nunua hiyo siku tulikua watatu na waligombaniwa sana ila nimekuja huku kwa wadau kujidhiirisha na kupata uhakika zaidiHao kuku ni wenyewe, wazuri, naweza kusema haujapigwa (ila inategemea na bei uliotoa).
Bei zao hua kuanzia 100,000/= mpaka 300,000/=. Nliwahi kufuga kuchi zamani kidogo.
Marketing zipo ila zina wenyewe na mpaka umpate mtu anaye wataka kabisa uyo ndo atakupa way.Bado sijaona sababu yenye mashiko kuuzwa bei kubwa hivyo.
Haya mapo yanakujaga kama network marketing tu ukiyafatilia hakuna uhalisia.
Ukimnunua laki moja alafu ukapata mteja wa wa laki mbili ndo utashawishika kaka kama nilivyoshawishika mimiUnaweza kumnunua laki moja?
Kipi kitakushawishi umnunue laki moja.
Tupe mwongozo uliishia wapiHao kuku ni wenyewe, wazuri, naweza kusema haujapigwa (ila inategemea na bei uliotoa).
Bei zao hua kuanzia 100,000/= mpaka 300,000/=. Nliwahi kufuga kuchi zamani kidogo.
Wananunua laki2Unaweza kumnunua laki moja?
Kipi kitakushawishi umnunue laki moja.
Ushafikisha wangap?!Nimekuelewa sana hawa niliona Mimi hivyo hivyo hawana manyoya kabisa kwenye kifua na wananyama nyekundu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo yapo kama network marketing. Ukitaka kuamini shangaa hata ww hujui sababu za msingi kuuzwa bei kubwa.Ukimnunua laki moja alafu ukapata mteja wa wa laki mbili ndo utashawishika kaka kama nilivyoshawishika mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Fatilia kwa umakini kama unao wengi.unaweza kua umetengeneza maisha ya watu wengi bila kujua weweMi nafuga mchanganyiko!sijui yupi ni kuchi au la!!!
Sababu ya kuuzwa laki mbili?Wananunua laki2
Mpaka sasa na mitetea mi tatu jogoo mmoja.kwenye hawa majike mmoja analalia kataga mayai ma 5 tuUshafikisha wangap?!
Jamaa mmoja kasema wanapiganisha kwenye kamaliHayo mambo yapo kama network marketing. Ukitaka kuamini shangaa hata ww hujui sababu za msingi kuuzwa bei kubwa.
Chukulia mfano hawa wa tuliowazoea ndio wangekuwa tunafuga kama hao bei ingeporomoko ushangae.
Sasa wewe jiulize wanatumika kwa kazi gani?
Hawafi kwa magonjwaa eti?????Hao kuku ni wenyewe, wazuri, naweza kusema haujapigwa (ila inategemea na bei uliotoa).
Bei zao hua kuanzia 100,000/= mpaka 300,000/=. Nliwahi kufuga kuchi zamani kidogo.
Masomo, ilibidi nisafiri kwenda mbali kwaajili ya masomo halafu sikua na mtu wa kuwaangalia. Ikabidi niuze wote. Ila ukituliza kichwa hao kuku watakutoa kimaisha, utapiga hatua sana. Utakua haukosi 300,000/= au 200,000/= za haraka haraka.
Bhasi mkuu vip wakipotea katika mazingira ya kutatanishaa??? Si ndo mwanzo wa uchawiiiMpaka sasa na mitetea mi tatu jogoo mmoja.kwenye hawa majike mmoja analalia kataga mayai ma 5 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbegu zake zinauzwa wapi????Masomo, ilibidi nisafiri kwenda mbali kwaajili ya masomo. Ila ukituliza kichwa hao kuku watakutoa kimaisha, utapiga hatua sana. Utakua haukosi 300,000/= au 200,000/= za haraka haraka.
Sema jitahidi uwe unawapa kinga kila baada ya miezi mitatu, magonjwa yanaosumbua kuku hua ni Sotoka, Gumboro na Mafua (Na yote yana kinga zinauzwa madukani). Ukiweza kuwapa kinga hizi kila baada ya miezi mitatu basi mambo yatakua poa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app