Kuku kukohoa na kupiga chafya

Mp steve

Member
Joined
Feb 28, 2019
Posts
26
Reaction score
12
Kuku wangu ana wiki na nusu sasa anasumbuliwa na huo ugonjwa ambao bado sijajua ni ugonjwa gani. Kiukweli,
anakohoa na kupiga chafya halafu ukimsikilizia kwa muda flani hivi unasikia kama anakoroma ndani ya mwili wake.

Kwa anaejua huu ni ugonjwa gani naomba msaada, pamoja na matibabu yake na kinga kiujumla..

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafua makali (corzya)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…