Kuku kukohoa na kupiga chafya

Kuku kukohoa na kupiga chafya

Wakuu mimi kuku wangu wanakohoa na ukiwasikiliza ni Kama wanakoroma umri ni wa Mbezi miwili na vifaranga wa week moja na siku 6 ila hii issue imedumu kiasi maana niliwapa Fluban siku 5 ikawa bado nilipata kifo kimoja kwa (Watoto),,,siku 3 mbele nimewaanzishia dose nyingine ya TYDOX EXTRA Wakubwa wametulia ila wadogo(hawa wa one week)bado hali ni ile ile,naombeni msaada wenu wadau!
 
Mkuu ungewapatia macrolan yenye tylosin 1000mg inasaidia mafua makali kingine badiri mazngira yao kama ni malanda yamekaa mda mrefu yaondoe fanya usafi wa mabanda hakikisha kuna hewa safi ndani ya mabanda.usiwaptie dawa tuu bila kuhakikisha usafi

Back
Top Bottom