Wakuu mimi kuku wangu wanakohoa na ukiwasikiliza ni Kama wanakoroma umri ni wa Mbezi miwili na vifaranga wa week moja na siku 6 ila hii issue imedumu kiasi maana niliwapa Fluban siku 5 ikawa bado nilipata kifo kimoja kwa (Watoto),,,siku 3 mbele nimewaanzishia dose nyingine ya TYDOX EXTRA Wakubwa wametulia ila wadogo(hawa wa one week)bado hali ni ile ile,naombeni msaada wenu wadau!