Jk12
JF-Expert Member
- Feb 24, 2019
- 702
- 1,134
olika weka picha na namba ya simuHodi hodiii mpk ndani. Habari za humu wandugu?.
Naitwa olika ni mgeni humu jf naomba ukaribisho na ushirikiano wenu eeh.
Naishi moshi ( nimenawa na maji tiririka na niko na barakoa hapa[emoji1787])
Sent using Jamii Forums mobile app