ziehl neelsen
Member
- Jun 7, 2014
- 44
- 7
WodaP.., wana JF mm ni member mpya japo nlikuwepo ktambo nikisoma post za watu, ila kwa mda huu nimeona na mm niji regst ili niweze kutoa mawazo yangu na mchango. Wangu katka ujenzi wa taifa. Na washkuru sana nategemea kupata ushrikiano kwenu hususani nyie wakongwe!