@Katavi mgeni nshamfungua kamba na sahizi wala hajulikani alipo yaani mpaka najuta mwenzio!
kha....!! Ina maana wajanja wameshamteka?@Katavi mgeni nshamfungua kamba na sahizi wala hajulikani alipo yaani mpaka najuta mwenzio!
kha....!! Ina maana wajanja wameshamteka?
Akijiachia sana na huu ugeni sio vizuri bana.......hapa hata hatujui katekwa na nani lol........wasimpeleke tu mabwepande tehe!