Bora umeonekana, maana tulikuwa na wasiwasi huenda umetekwa. Tulitaka tuunde kamati ya kwenda mabwepande kukusaka....Aaahahaha!!
Kwa jinsi sweetlady alivo kuwa akifungua kamba kichokozi sidhani kama kuna mtu angeweza kuniteka lol!
Zaidi nilikuwa pembeni nikifuatilia mazungumzo kati ya wenyeji wangu.
Shukrani kwa wote mlio na mnao zidi kunikaribisha
Bora umeonekana, maana tulikuwa na wasiwasi huenda umetekwa. Tulitaka tuunde kamati ya kwenda mabwepande kukusaka....
Msitu wa pande tena? Siku hizi tumeweka walinzi ambao ni invisible kwahiyo ukijaribu kuleta unyama wako tu imekula kwako.
Mkuu usiwe na shaka.
Aaahahaha!!
Kwa jinsi sweetlady alivo kuwa akifungua kamba kichokozi sidhani kama kuna mtu angeweza kuniteka lol!
Zaidi nilikuwa pembeni nikifuatilia mazungumzo kati ya wenyeji wangu.
Shukrani kwa wote mlio na mnao zidi kunikaribisha
Hatimaye umeachiwa lol...........nilikuwa nna mpango wa kukufunga tena kamba mguuni ila vile umejieleza kwa ufasaha kamba naitupa kule........ Katavi kama vipi choma moto hiyo kamba!
Bora hiyo kamba ichomwe kabisaaa! kiasi flani ilishaanza kunichubua mguu
Haziwezi pita siku zote hizo
Na kuhusu mzigo kuna mizigo mingine ni kwaajili ya ma Mr. Kwahiyo ungetumia mzigo wa ki-Mr sijui ingekuwaje?
Bora hiyo kamba ichomwe kabisaaa! kiasi flani ilishaanza kunichubua mguu
Hakya nani tena Nita kusemea kwa...........
Akufunde tena ili usiwe unatumia vitu vya kuku wageni Lo!