Safi sana mkuu
Kama una mayai ya kutosha ie uzalishaji wako ni mkubwa sana, tengeneza vipeperushi kwenye PC uweke location na namba yako ya simu halafu wape vijana wavisambaze mitaani kwnye mikusanyiko mfano ubungo au ferry, utapiga hela mpaka ushangae
All the best