Kuku na mayai kienyeji

Kuku na mayai kienyeji

ket

Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Nauza kuku pure kienyeji majogoo na majike. Being zinatokana uzito wa kuku. Pia Mayai kienyeji trei 15000. Nipigie nikuletee ulipo Kama no hapa dar . 0712878737
 
Nauza kuku pure kienyeji majogoo na majike. Being zinatokana uzito wa kuku. Pia Mayai kienyeji trei 15000. Nipigie nikuletee ulipo Kama no hapa dar . 0712878737

Unawafuga mwenyewe au unanunua mashambani?
 
Wengine ndo kwanza twataka anza fuga. Endelea utapata tu wateja
 
Safi sana mkuu

Kama una mayai ya kutosha ie uzalishaji wako ni mkubwa sana, tengeneza vipeperushi kwenye PC uweke location na namba yako ya simu halafu wape vijana wavisambaze mitaani kwnye mikusanyiko mfano ubungo au ferry, utapiga hela mpaka ushangae

All the best
 
Back
Top Bottom