Kuku na Vifaranga wa kienyeji wanauzwa

Ainisha bei kabisa! Ila Mimi nahitaji vifaranga chotara. Yaani dume la kisasa na kwa majike ya Kienyeji!
 
Kwa anayehitaji vifaranga vya kuku wa kienyeji vitakua tayali tarehe 9/8/2016 bea@ 2000 viko 120 tuwasiliane
 
Kwa anayehitaji vifaranga vya kuku wa kienyeji vitakua tayali tarehe 9/8/2016 bea@ 2000 viko 120 tuwasiliane
Hawa ni watakua wa muda gani??? Je moshi watapatikana???

NB: Nahitaji wa kienyeji na sio wa malawi wala chotara
 
Kiongozi mimi nahitaji wa malawi je naweza kuwapata? Hata Kama ni vifaranga
 
Hao ndo wale wakupiga hela watu,ye mwenyew biashara ya kubahatisha,hatuendi hivo mkuu.Ndio maana biashara nyingine zinakufa na nyingine zinapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…