Kuku na Vifaranga wa kienyeji wanauzwa

Kuku na Vifaranga wa kienyeji wanauzwa

Ebenezer-255

Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
45
Reaction score
8
1458986680620.jpg
1. Majogoo ya Mbegu.
2. Vifaranga wa Mwezi mmoja.
3. Vifaraga wa wiki tatu.
4. Vifaranga wa wiki mbili.
5. Vifaranga wa siku moja wanapatikana kwa order.

Kuku wote wamechanjwa na bei inatofautiana kulingana na umri. Tupo Tabata Kinyerezi.
 
Ainisha bei kabisa! Ila Mimi nahitaji vifaranga chotara. Yaani dume la kisasa na kwa majike ya Kienyeji!
 
Kwa anayehitaji vifaranga vya kuku wa kienyeji vitakua tayali tarehe 9/8/2016 bea@ 2000 viko 120 tuwasiliane
 
Kwa anayehitaji vifaranga vya kuku wa kienyeji vitakua tayali tarehe 9/8/2016 bea@ 2000 viko 120 tuwasiliane
Hawa ni watakua wa muda gani??? Je moshi watapatikana???

NB: Nahitaji wa kienyeji na sio wa malawi wala chotara
 
Kiongozi mimi nahitaji wa malawi je naweza kuwapata? Hata Kama ni vifaranga
 
Hao ndo wale wakupiga hela watu,ye mwenyew biashara ya kubahatisha,hatuendi hivo mkuu.Ndio maana biashara nyingine zinakufa na nyingine zinapona
 
Back
Top Bottom