Kuku wa "abuja" Tabora

ndio wapi huko mkuu?

Usinichekeshe, hiyo ni aina mojawapo ya mboga za majani iliyokaushwa na kuhifadhiwa kwa matumizi ya baadaye haswa kiangazi. Mchanganyiko wake ni majani ya maboga na majani ya mlenda, vinakaushwa na kusagwa ili kupata kitu kama unga laini hivi. Mchanganyiko huo ukiungwa na tui la karanga ni HATAREEEEE.
 
Ebhana eeeeh huyu kuku sasa anapikwa Dodoma panaitwa Abuja Park Dodoma, nimekula Kuku Abuja Dodoma ni Mtamu, na nikawaona wapishi ni wale wale vijana niliwahi kula Abuja Tabora. Wamesopgeza huduma ya kuku Abuja Dodoma
 
Location tafadhali Mkuu..!!

Pia niliwahi kula pale Abuja pale Legends Pub ipo jirani na Waswanu, nika enjoy balaa..!!🥳
 
Sio kuku wa kawaida eĺewa neno sio wa kawaida
 
Ebhana eeeeh huyu kuku sasa anapikwa Dodoma panaitwa Abuja Park Dodoma, nimekula Kuku Abuja Dodoma ni Mtamu, na nikawaona wapishi ni wale wale vijana niliwahi kula Abuja Tabora. Wamesopgeza huduma ya kuku Abuja Dodoma
Aiseee. Kwa utamu wa wale kuku nitawapandia SGR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…