Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Wakuu ikiwa leo ni tarehe 31 mwezi wa 12, muda mfupi kabla ya mwaka mpya kuna kuku wa jirani, tena kuku kweli kweli ameingia jikoni kwangu na mlango umejifunga akiwa ndani, hapo nifanye nini?
Chumvi, vitunguu, mafuta, ndimu, pilipili mkaa na viungo vingine vipo.
Chumvi, vitunguu, mafuta, ndimu, pilipili mkaa na viungo vingine vipo.