Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mume wa mtu huyooooWakuu ikiwa leo ni tarehe 31 mwezi wa 12, muda mfupi kabla ya mwaka mpya kuna kuku wa jirani, tena kuku kweli kweli ameingia jikoni kwangu na mlango umejifunga akiwa ndani, hapo nifanye nini?
Chumvi, vitunguu, mafuta, ndimu, pilipili mkaa na viungo vingine vipo.