Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Wakuu ikiwa leo ni tarehe 31 mwezi wa 12, muda mfupi kabla ya mwaka mpya kuna kuku wa jirani, tena kuku kweli kweli ameingia jikoni kwangu na mlango umejifunga akiwa ndani, hapo nifanye nini?
Wakuu ikiwa leo ni tarehe 31 mwezi wa 12, muda mfupi kabla ya mwaka mpya kuna kuku wa jirani, tena kuku kweli kweli ameingia jikoni kwangu na mlango umejifunga akiwa ndani, hapo nifanye nini?
Sawa mkuuKweli hilo jaribu,😀😀
Sikiliza moyo wako.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Acha wizi asije akawikia tumboni, maliza mwaka kwa amani anza mwaka kwa amani
Noma sana
Pole mkuuHaya mambo ndo yanafanya toka juzi natafuta kanga wangu simuoni nazani kuna mtu keshamgeuza kitoweo
Mtombe kisha umwache asepeWakuu ikiwa leo ni tarehe 31 mwezi wa 12, muda mfupi kabla ya mwaka mpya kuna kuku wa jirani, tena kuku kweli kweli ameingia jikoni kwangu na mlango umejifunga akiwa ndani, hapo nifanye nini?
Chumvi, vitunguu, mafuta, ndimu, pilipili mkaa na viungo vingine vipo.