Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini unawaita ni kuku wa kienyeji wakati unawafungia ndani na kuwalisha pumba?
Nimeona hapo wanaishi ndani ya geti!Umeona wapi hayo mlamu!!
Nimeona hapo wanaishi ndani ya geti!
Hamna biashara hapo, mbabaishaji tu,,,Weka bei..unaficha ficha nini?
Ndiyo Ni kuku wa kienyeji mkuu...Unaposikia neno kuku wa kienyeji unaelewa Nini?Kwa nini unawaita ni kuku wa kienyeji wakati unawafungia ndani na kuwalisha pumba?
Kwangu mimi ili kuku awe wa kienyeji anatakiwa awe na hizi sifa kuu mbili:Ndiyo Ni kuku wa kienyeji mkuu...Unaposikia neno kuku wa kienyeji unaelewa Nini?
Kuku wa kienyeji Ni local breeds.
Na Kuna Njia /systems Kama Tatu Hivi za kuwafuga...
Free range
Semi intensive system
Intensive system.
Kwa namna hiyo uzalishaji unakuwa Ni mdogo ,Kuongeza uzalishaji Ni lazima Njia Tajwa za ufugaji hapo juu zifuatwe. Isipokuwa hiyo ya Kwanza (free range)maana inapunguza uzalishaji kwa kiasi kikubwa.Kwangu mimi ili kuku awe wa kienyeji anatakiwa awe na hizi sifa kuu mbili:
1.Local breed
2.Aachiwe ale huko nje mwenyewe extensively vyakula mbalimbali kama vile wadudu,majani,etc bila ya kulishwa na binadamu.Kwangu mimi binadamu akishatia nanga na kuanza kumlisha mavyakula ya viwandani huyo siyo kuku wa kienyeji tena.Sisi huku kijijini huwa tunawaachia kuku wanakula huko nje hadi wanashiba wenyewe.
Ngoja tutamtajie Bei, Bei ni 5,000/=mbona haujaweka bei
Lakini hawezi kuwa bora kama huyo wa kwangu,si ndiyo?Kwa namna hiyo uzalishaji unakuwa Ni mdogo ,Kuongeza uzalishaji Ni lazima Njia Tajwa za ufugaji hapo juu zifuatwe. Isipokuwa hiyo ya Kwanza (free range)maana inapunguza uzalishaji kwa kiasi kikubwa.
Kuku wanapofugwa ndani siyo kwamba wanapewa Vyakula vya Viwandani(lab manufactured) wanapewa Vyakula vya asili Kama
Pumba za nafaka,Mashudu(ya alizeti ,Pamba nk)
Nafaka ...
Wadudu
Majani.
Hapo Kuna kuwa na uwiano wa Virutubisho anavyoitaji katika uzalishaji wa nyama Bora na mayai.
😂😂😂 Ndiyo mkuu kuku anaefugwa ndani Tuu hawezi kufanana na kuku anaeranda randa nje...Lakini hawezi kuwa bora kama huyo wa kwangu,si ndiyo?
kaweka, anasema kuku mmoja mkubwa anauza 35,000mbona haujaweka bei