Manchid
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 221
- 475
Wadau kama title inavyosema japo juu Mimi najishughulisha na uuzaji wa kuku wa kienyeji pure ambao hua nazama vijijini kukusanya mzigo nipo singida ikiwa kuna mtu atahitaji kusafirisha hua nasafirisha kulingana na idadi mtu anayohitaji cha msingi uaminifu na kama upo singida nakusogezea huduma mpk ulipo....nicheki kwa 0716527104 upate kilicho bora kabisa.