Wakuu nashukuru sana kwa maoni yenu nimejifunza kitu kizuri sana hapa
Karibu sana ninauza majogoo karibu uniungishe ni wazuri kwa mbegu.
Jogoo wa aina gani? Na ni tzs ngapi?
Kwa sasa nauza vifaranga ni chotara wa rangi ya kanga kutoka malawi,bei ni tsh 3500 mazungumzo yapo Englishlady
Mkuu usipende kuwapatia madawa ili watage acha nature itake place ni mbaya sana na wakisha zoea hayo madawa inakuwa shida.Kuna Vitamini zinauzwa kwenye maduka ya Mifugo
Kama sikosei huitwa Layer;s
Hii inawapa jotp zaidi la kuendelea kutaga!
Lakini angalia kuku wasije kutoka kizazi!!!
kwanza hongera sana kwa kukuamua kufuga kuku. Mimi nina shauku sana ya kufuga kuku ila sijui noanzie wap.