Kuku wa kienyeji kuwa wa mayai

Kuku wa kienyeji kuwa wa mayai

Kuna Vitamini zinauzwa kwenye maduka ya Mifugo
Kama sikosei huitwa Layer;s
Hii inawapa jotp zaidi la kuendelea kutaga!
Lakini angalia kuku wasije kutoka kizazi!!!
 
kwanza hongera sana kwa kukuamua kufuga kuku. Mimi nina shauku sana ya kufuga kuku ila sijui noanzie wap.
 
Kuna Vitamini zinauzwa kwenye maduka ya Mifugo
Kama sikosei huitwa Layer;s
Hii inawapa jotp zaidi la kuendelea kutaga!
Lakini angalia kuku wasije kutoka kizazi!!!
Mkuu usipende kuwapatia madawa ili watage acha nature itake place ni mbaya sana na wakisha zoea hayo madawa inakuwa shida.
 
kwanza hongera sana kwa kukuamua kufuga kuku. Mimi nina shauku sana ya kufuga kuku ila sijui noanzie wap.

Soma sticky topics hapo juu zinaelezea kwa upana kuhusu ufugaji,karibu pia ninauza vifaranga waliokuzwa tayari.
 
Back
Top Bottom