Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuku ni chakula ujue......Tafuta sehemu ya njia kuu ya watu kupita hapo utapiga pesa na utakuwa umeepukana na madalaliNaombeni mnisaidie wazo natamani niende na kuku Dar kuuza wa kienyeji nawezaje kuuza mwenyewe bila dalali Yaani rejareja. Ikiwa kuna mtu aliweza ifanya hii biashara anisidie uzoefu pliz.
Akiweka banda hiyo sehemuKuku ni chakula ujue......Tafuta sehemu ya njia kuu ya watu kupita hapo utapiga pesa na utakuwa umeepukana na madalali
Nenda dar zunguka,tafuta masoko mahotelini nk,rudi shamba walete kuku wakoNaombeni mnisaidie wazo natamani niende na kuku Dar kuuza wa kienyeji nawezaje kuuza mwenyewe bila dalali Yaani rejareja. Ikiwa kuna mtu aliweza ifanya hii biashara anisidie uzoefu pliz.
we walipe hata madalali maana utawalipa mara moja tu kwa ajili ya kukuonyesha soko na anaweza kukucharge hta buku tu kwa kuku mmojaNaombeni mnisaidie wazo natamani niende na kuku Dar kuuza wa kienyeji nawezaje kuuza mwenyewe bila dalali Yaani rejareja. Ikiwa kuna mtu aliweza ifanya hii biashara anisidie uzoefu pliz.
UNAJUA KWENYE MAISHA LAZIMA USULUBIKENi kweli hapo ndo tatizo , nitafutie oda za mahotel mkuu kama upo Dar
Umenena vyema na nimejifunza AsanteUNAJUA KWENYE MAISHA LAZIMA USULUBIKE
SAWA MM NAWEZA PATA CONNECTION NKAKUPA
LAKINI NA WE INABIDI UZUNGUKE
HAO HAO MADALALI WA KUKU MASOKONI
UKIWA SMART UNAWEZA PATA NA KUJUA VITU VINGI,USIMKWEPE DALALI WE MFACE
FANYA NAYE BIASHARA MCHOTE AKILI
UTAJUA NJIA NYINGI
MFANO ZENJI TU HAPO KUKU WA KIENYEJI DILI....
SIKU ZOTE MJINGA NI WAKATI WA KWENDA WAKATI WA KURUDI USHAKUWA MJANJA
SISI WENYEWE WAJANJA LAKINI MADALALI TUNAWATUMIA LKN KIUSMART UNAMFANYA DARAJA LA KUVUKIA UPANDE WA PILI
OVA
Mkuu naomba nielekeze hilo eneo ntashukuru sana nataka nije nao Ijumaahaina haja ya dalali hasa kwa hao wa kienyeji..nna jamaa angu anafuga siku moja kachukua kuku zake arobain kwenye tenga akaenda kutega barabara kuu kwa elf 15 tu alimaliza kwa masaa machache karudi zake home kutulia
Note: ukifanikiwa kuja nishtue bas nikuunge hata kuku mmoja
ushaur tu kaka! hao kuku hawaozi kama nyanya kwamba ukija ukashindwa kuuza leo bas zitaharibika nop! njoo nao tu na pumba za kutosha alaf njoo dar tafuta sehem yyte hata nje ya soko lolote au tafuta sehem wanayopita watu wengi am sure utauza tu..hapa dar hakishindikan kitu..Mkuu naomba nielekeze hilo eneo ntashukuru sana nataka nije nao Ijumaa
Hahaaa eti niwe tayari kukimbizana na Askari haki nimecheka haya ngoja nijaribu mkuuushaur tu kaka! hao kuku hawaozi kama nyanya kwamba ukija ukashindwa kuuza leo bas zitaharibika nop! njoo nao tu na pumba za kutosha alaf njoo dar tafuta sehem yyte hata nje ya soko lolote au tafuta sehem wanayopita watu wengi am sure utauza tu..hapa dar hakishindikan kitu..
note: kuwa tyr tu na kukimbia askar wa jiji maana machinga hawaruhusiw sasa iv ko siwez kukuhakikishia wap sehem sahihi utauza sana
Sana sana hapo soko lipi zuri mkuuushaur tu kaka! hao kuku hawaozi kama nyanya kwamba ukija ukashindwa kuuza leo bas zitaharibika nop! njoo nao tu na pumba za kutosha alaf njoo dar tafuta sehem yyte hata nje ya soko lolote au tafuta sehem wanayopita watu wengi am sure utauza tu..hapa dar hakishindikan kitu..
note: kuwa tyr tu na kukimbia askar wa jiji maana machinga hawaruhusiw sasa iv ko siwez kukuhakikishia wap sehem sahihi utauza sana
Nimekupitisha ovaUNAJUA KWENYE MAISHA LAZIMA USULUBIKE
SAWA MM NAWEZA PATA CONNECTION NKAKUPA
LAKINI NA WE INABIDI UZUNGUKE
HAO HAO MADALALI WA KUKU MASOKONI
UKIWA SMART UNAWEZA PATA NA KUJUA VITU VINGI,USIMKWEPE DALALI WE MFACE
FANYA NAYE BIASHARA MCHOTE AKILI
UTAJUA NJIA NYINGI
MFANO ZENJI TU HAPO KUKU WA KIENYEJI DILI....
SIKU ZOTE MJINGA NI WAKATI WA KWENDA WAKATI WA KURUDI USHAKUWA MJANJA
SISI WENYEWE WAJANJA LAKINI MADALALI TUNAWATUMIA LKN KIUSMART UNAMFANYA DARAJA LA KUVUKIA UPANDE WA PILI
OVA