Kuku wa kienyeji kwa Dar wanalipa?

Kuku wa kienyeji kwa Dar wanalipa?

Judyjudy

Member
Joined
Jun 17, 2021
Posts
30
Reaction score
12
Naombeni mnisaidie wazo natamani niende na kuku Dar kuuza wa kienyeji nawezaje kuuza mwenyewe bila dalali Yaani rejareja. Ikiwa kuna mtu aliweza ifanya hii biashara anisidie uzoefu pliz.
 
Nenda dar zunguka,tafuta masoko mahotelini nk,rudi shamba walete kuku wako
Usije na kuku huku hujui wapi utawauzia

Ova
 
Naombeni mnisaidie wazo natamani niende na kuku Dar kuuza wa kienyeji nawezaje kuuza mwenyewe bila dalali Yaani rejareja. Ikiwa kuna mtu aliweza ifanya hii biashara anisidie uzoefu pliz.
we walipe hata madalali maana utawalipa mara moja tu kwa ajili ya kukuonyesha soko na anaweza kukucharge hta buku tu kwa kuku mmoja
 
Ni kweli hapo ndo tatizo , nitafutie oda za mahotel mkuu kama upo Dar
UNAJUA KWENYE MAISHA LAZIMA USULUBIKE
SAWA MM NAWEZA PATA CONNECTION NKAKUPA
LAKINI NA WE INABIDI UZUNGUKE
HAO HAO MADALALI WA KUKU MASOKONI
UKIWA SMART UNAWEZA PATA NA KUJUA VITU VINGI,USIMKWEPE DALALI WE MFACE
FANYA NAYE BIASHARA MCHOTE AKILI
UTAJUA NJIA NYINGI
MFANO ZENJI TU HAPO KUKU WA KIENYEJI DILI....
SIKU ZOTE MJINGA NI WAKATI WA KWENDA WAKATI WA KURUDI USHAKUWA MJANJA

SISI WENYEWE WAJANJA LAKINI MADALALI TUNAWATUMIA LKN KIUSMART UNAMFANYA DARAJA LA KUVUKIA UPANDE WA PILI

OVA
 
haina haja ya dalali hasa kwa hao wa kienyeji..nna jamaa angu anafuga siku moja kachukua kuku zake arobain kwenye tenga akaenda kutega barabara kuu kwa elf 15 tu alimaliza kwa masaa machache karudi zake home kutulia

Note: ukifanikiwa kuja nishtue bas nikuunge hata kuku mmoja
 
Umenena vyema na nimejifunza Asante
 
haina haja ya dalali hasa kwa hao wa kienyeji..nna jamaa angu anafuga siku moja kachukua kuku zake arobain kwenye tenga akaenda kutega barabara kuu kwa elf 15 tu alimaliza kwa masaa machache karudi zake home kutulia

Note: ukifanikiwa kuja nishtue bas nikuunge hata kuku mmoja
Mkuu naomba nielekeze hilo eneo ntashukuru sana nataka nije nao Ijumaa
 
ushaur tu kaka! hao kuku hawaozi kama nyanya kwamba ukija ukashindwa kuuza leo bas zitaharibika nop! njoo nao tu na pumba za kutosha alaf njoo dar tafuta sehem yyte hata nje ya soko lolote au tafuta sehem wanayopita watu wengi am sure utauza tu..hapa dar hakishindikan kitu..

note: kuwa tyr tu na kukimbia askar wa jiji maana machinga hawaruhusiw sasa iv ko siwez kukuhakikishia wap sehem sahihi utauza sana
 
Hahaaa eti niwe tayari kukimbizana na Askari haki nimecheka haya ngoja nijaribu mkuu
 
ushaur tu kaka! hao kuku hawaozi kama nyanya kwamba ukija ukashindwa kuuza leo bas zitaharibika nop! njoo nao tu na pumba za kutosha alaf njoo dar tafuta sehem yyte hata nje ya soko lolote au tafuta sehem wanayopita watu wengi am sure utauza tu..hapa dar hakishindikan kitu..

note: kuwa tyr tu na kukimbia askar wa jiji maana machinga hawaruhusiw sasa iv ko siwez kukuhakikishia wap sehem sahihi utauza sana
Sana sana hapo soko lipi zuri mkuu
 
UNAJUA KWENYE MAISHA LAZIMA USULUBIKE
SAWA MM NAWEZA PATA CONNECTION NKAKUPA
LAKINI NA WE INABIDI UZUNGUKE
HAO HAO MADALALI WA KUKU MASOKONI
UKIWA SMART UNAWEZA PATA NA KUJUA VITU VINGI,USIMKWEPE DALALI WE MFACE
FANYA NAYE BIASHARA MCHOTE AKILI
UTAJUA NJIA NYINGI
MFANO ZENJI TU HAPO KUKU WA KIENYEJI DILI....
SIKU ZOTE MJINGA NI WAKATI WA KWENDA WAKATI WA KURUDI USHAKUWA MJANJA

SISI WENYEWE WAJANJA LAKINI MADALALI TUNAWATUMIA LKN KIUSMART UNAMFANYA DARAJA LA KUVUKIA UPANDE WA PILI

OVA
Nimekupitisha ova
 
Back
Top Bottom