Kuku wa kienyeji kwa wakazi wa Dar

Kuku wa kienyeji kwa wakazi wa Dar

Nokiatochi

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Je unabiashara ya Hotel, Restaurant au Pub ndani ya Dar Es Salaam?
Tunakujuza habari njema ya uuzaji na usambazaji wa kuku wa kienyeji katika biashara yako(free delivery).
Kuku hao wanatoka ukanda wa Tabora, Singida na Dodoma.
Tunapenda kuwahakikishia kua kuku ni wa kienyeji na hawajafanyiwa pandikizi lolote (Sio Broiler).
Makadirio ya uzito wa kuku ni kuanzia 1.2Kg to 1.5 Kg baada ya kusafishwa manyoya na utumbo kama inavyoonekana pichani.

Piga namba 0782-052196 kupata order yako au maelekezo zaidi.
Wote mnakaribishwa,










C:\Users\ridd\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.jpg





C:\Users\ridd\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image003.jpg
C:\Users\ridd\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image005.jpg

 

Attachments

  • IMG_20140809_141656_0.jpg
    IMG_20140809_141656_0.jpg
    309.4 KB · Views: 136
  • IMG_20140809_141813_0.jpg
    IMG_20140809_141813_0.jpg
    309.1 KB · Views: 124
  • IMG_20140809_142404_0.jpg
    IMG_20140809_142404_0.jpg
    310.1 KB · Views: 121
je mnauza na mayai ya kienyeji bei ya trei 1 ni shs ngapi?
 
Back
Top Bottom