Kuku wa kienyeji ni shidaa

Kuku wa kienyeji ni shidaa

Halafu vijana huwa mnazuzuka na hawa wanawake wa mitandaoni wanaoedit picha kabla hawajatuma......

Aisee hii Tanzania inawatoto wa kike wazuri.......na unamuona kwa macho yako hivi hapa mbele anapita aiseeee hadi unatetemeka kwa mstuko wa mahaba.....

Msitembee kwa kutumia simu......tenga nauli na bajeti ya kusafiri mikoa mbali mbali aisee utajionea mwenyewe......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa dar washamba sana kwa kumuangalia tu huyo kijijini wamemchezea ameisha
 
Halafu vijana huwa mnazuzuka na hawa wanawake wa mitandaoni wanaoedit picha kabla hawajatuma......

Aisee hii Tanzania inawatoto wa kike wazuri.......na unamuona kwa macho yako hivi hapa mbele anapita aiseeee hadi unatetemeka kwa mstuko wa mahaba.....

Msitembee kwa kutumia simu......tenga nauli na bajeti ya kusafiri mikoa mbali mbali aisee utajionea mwenyewe......

Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie hawaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom