ipatie kuku wa kienyeji, ni wa tamu sana kwa aina zote za mapishi kama supu, kuchoma, kukaanga n.k. Wana uzito kati ya 2-3 kg. bei ni kati ya 20000-35000. Kulingana na uzito. Napatikana Kunduchi Dar es Salaam. Wateja walio serious (Namaanisha wanaotaka kununua na sio wa kupoteza muda) nitumie PM.