Kuku wa kienyeji wako Sokoni Karibuni wote

Kuku wa kienyeji wako Sokoni Karibuni wote

idea

Senior Member
Joined
Apr 3, 2009
Posts
123
Reaction score
16
ipatie kuku wa kienyeji, ni wa tamu sana kwa aina zote za mapishi kama supu, kuchoma, kukaanga n.k. Wana uzito kati ya 2-3 kg. bei ni kati ya 20000-35000. Kulingana na uzito. Napatikana Kunduchi Dar es Salaam. Wateja walio serious (Namaanisha wanaotaka kununua na sio wa kupoteza muda) nitumie PM.

KUKU WENYEWE NI KAMA WANAVYOONEKANA KWENYE PICHAView attachment 221984
 
Weka namba yako mkuu tukutwangie. Sasa kama nahitaji mmoja na niko Mwenge nampataje?
 
Back
Top Bottom