Kuku wa kisasa hawatagi, sasa chanzo chao ni nini?

Kuku wa kisasa hawatagi, sasa chanzo chao ni nini?

Kuna siku nilijaribu kununua mayai mawili ya kisasa na kuyahifadhi kwa siku 10, siku ya 10 kuyacheck yanatoa funza na harufu kali.
Uliyapasua au uliyahifadhi yakiwa mazima
 
Jamani kwa wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, nimezoea kuwaona kuku wa kisasa na huwa hawatagi, swali langu vifaranga vyake vinapatikana vipi?
MKUU UNACHOTAKA KUJUA HAKINA TOFAUTI NA HAYA MAHINDI YAKUNUNUA DUKANI CKUIZI YAKIOTA HUWEZI KUPANDA TENA SHARTI URUDI KWAO WAKUPE MBEGU NYINGINE, INSHOT VITU VISHAFANYWA BIASHARA VIUMBE ASILI VISHATOWESHWA, NI MW3NDO WA KUFANYWA WATEJA WA DAWA ZA KANSA,FIGO,MOYO, PRESHA NA KISUKARI, BIASHARA ZA WAKUBWA WA DUNIA
 
Back
Top Bottom