Kuku wa mayai

chaArusha

Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
88
Reaction score
31
Habari za kazi wakuu.
Ninaomba msaada, hivi karibuni nimeanzisha mradi wa kuku wa mayai, wapo kidogo tu kama 400 hivi kwa majaribio. Wana miezi miwili sasa, nilichobaini ni kwamba chakula chao ni ghali sana na nahisi kama wanaweza kunishinda. Hata hivyo, nimesikia tetesi kuwa upo utaalamu wa kutengeneza chakula kwa kuchanganya mwenyewe kwa bei ya chini kidogo, ninaomba kwa anayejua formula anipatie ili nisipoteze mtaji huu.
Nawasilisha
 
pole ndg, na hongera kwa ujasiliamali. Kifupi sikushauri uwe unatengeneza mwnywe chakula, labda kama una mtaalam uende ukapate shamba darasa,vngnevo hao kuku wako very senstive...ukikosea tu uwia utawafanya wadelay kuanza kutaga kwa wakati hivo kukuongezea gharama. Kifupi kuku hao 400 inabidi uwe na kama ml 4 mpaka wanaanza kutaga,so jitahidi kuangalia namna utavopata hiyo ml 4 kuliko kutengeneza chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…