Habari za kazi wakuu.
Ninaomba msaada, hivi karibuni nimeanzisha mradi wa kuku wa mayai, wapo kidogo tu kama 400 hivi kwa majaribio. Wana miezi miwili sasa, nilichobaini ni kwamba chakula chao ni ghali sana na nahisi kama wanaweza kunishinda. Hata hivyo, nimesikia tetesi kuwa upo utaalamu wa kutengeneza chakula kwa kuchanganya mwenyewe kwa bei ya chini kidogo, ninaomba kwa anayejua formula anipatie ili nisipoteze mtaji huu.
Nawasilisha