Kuku wa mayai

Kuku wa mayai

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Natafuta kuku wa mayai hapa.....nisaidieni kutafuta
 
Alie acha kutaga au anayeendelea kutaga?
 
kinyavu au kishingo na awe mweupe au brown?....na unataka wa mkoa gani....singida au tanga....wa singida huwa ni wakakamavu sana na hutoa mayai mengi (just an advise)
 
kinyavu au kishingo na awe mweupe au brown?....na unataka wa mkoa gani....singida au tanga....wa singida huwa ni wakakamavu sana na hutoa mayai mengi (just an advise)

Tena wa Singida wana miguu membamba kiaina
 
Bata wa Mayai je incase ukikosa Kuku wa Mayai?!!
 
Sasa thread za miaka hiyo mnaziamsha za nini?!Kama ni kuku si mkanunue sokoni huko!
 
Back
Top Bottom