Kuku wa Polepole alikula 'punje' nne za ubalozi. Sasa anatapa tapa

Bemendazole

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
2,760
Reaction score
6,921
Wengi hawajui ugomvi wa Polepole na Samia unatoka wapi!

Ni hivi. Ili Polepole aachie ubunge, alipewa ubalozi kwa kipindi sawa na cha ubunge, ambapo ubalozi wake ungekoma, mara baada ya bunge kuvunjwa.

Kwa hiyo Polepole kujiuzulu ilikuwa ni kulia timing asije akakaa hadi astaafishwe, Jambo ambalo lingetokea hivi punde.

Kwa iyo Polepole sio shujaa, muda wake wa kukaa kwenye ubalozi ulikwisha na angelazimika kuachia hiyo nafasi, jambo ambalo alikuwa hakubaliani nalo, ndio maana ameanzisha vita kali na Samia.
 
Kwani ameenzisha vita au anahoji tu utaratibu wa chama kama umefatwa,ingekuwa busara angejibiwa kuliko hizi persanal attack.jiekezeni kumjibu polepole kwa hoja.
 
Na kosa la January Makamba ni lipi?!!

Na kosa la Kasimu Majaliwa ni lipi?!!

Na kosa la Mpango ni lipi?!!

Na kosa la Ndugai ni lipi?!!
 
Back
Top Bottom