Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kwanini?hoja ipo,,,,,lakini pia siungi mkono kuku wa five star,,,,ngoja waje kunisaidia wajuvi.
Hahaha......tuwasaidiejeFikra potofu...
Ujinga ni asili kama mtu anavyozaliwa na Macho mawili same applied to ujinga...
Hata kamaUlishawahi kuulizia bei ya organic na hao?😂
Ni mazoea tuu ndugu, ukizoea wa kisasa utaona wa kienyeji ana radha mbaya.kwenye hili naungana na makabwela wenzangu, hao kuku sio watamu kabisa na hawafai kwa chochote. Kwani kuuzwa kwenye mahoteli ya kifahari ndio maana yake ni salama au halali?
makabwela oyeee,
Au nasema uongo nduguzangu?
AiseeeeeeeeeeeeeNi mazoea tuu ndugu, ukizoea wa kisasa utaona wa kienyeji ana radha mbaya.
Lakini Condomu na P2 sasaWatanzania wana kasumba ya kuamini kitu fulani hakifai hata ufanye nini hicho kitu hawatakikubali kamwe...mfano mmojawapo wa kitu walichokikataa ni supermarket
Kitu kuuzwa duniani au nchi nyingi haimanishi hakina madhara , Hata coca cola ipo Takriban kila nchi ila fuatilia madhara ya kunywa coca cola mda mrefu kiafya .Sisi makabwela tutachelewa sana kutoboa maishani. Tuna jeuri zisizo na msingi wowote. Ni watu wa kupandikiza Hofu kwenye maisha. Hofu zisizo halisi
Kumezuka vijitabia vya sisi makabwela ambao hata mlo miwili tu kwa siku tunaipata kwa taabu tunasema eti Kuku wa Kisasa wana sumu. Kuku hao hao ndio wanaoandaliwa Kwenye Hotel za Kifahari za Matajiri wakubwa. Wanakula Mawaziri wako, Mabalozi, Ma Rais akiwemo na Rais wa Nchi yako.
Wewe kabwela umeshiba viazi unaanza kuzinanga eti hizi Kuku zina Sumu. Najua wasi wasi wako Kabwela unaogopa eti Nguvu za kiume zitapungua maana huna unachokipambania zaidi ya Mauno na kuzaa tu.
Makabwela tubadilike. Huyo Kuku wa Kienyeji abaki kufugwa kama Hobby tu na sio kibiashara. Hatutatoboa.
Basi kama ni mazoea bora waseme hivyo na sio kusambaza taarifa mbovuNi mazoea tuu ndugu, ukizoea wa kisasa utaona wa kienyeji ana radha mbaya.
Hahaha....kwamba hawana hela ya kununua Kuku wa KienyejiWatu wa Fstar wanachangamoto nyingi za kiafya. Wanajilia tu
Hakuna hata mojaPia huku mjini wahindi wanazila sana hizi kuku za kisasa.
Nataka nijue zimewapa madhara gani ya kiafya.?