trante
Member
- Mar 19, 2019
- 12
- 15
Message…habari wana jamii mm ni mfugaji mdogo nafuga kuku wa kienyeji .kuku ninao wachache tu c wengi.hivi juzi nimeanza kuona wanaumwa ugonjwa kama kukohoa hivi.nilipochunguza nikagundua vitu kama kamasi puani .sasa sijajua ni ugonjwa gani Na tiba yake ni IPI .kama nitapata dawa ya kienyeji itakuwa poa sana.