Kuku wangu wanakaribia kufa

Kuku wangu wanakaribia kufa

trante

Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
12
Reaction score
15
Message…habari wana jamii mm ni mfugaji mdogo nafuga kuku wa kienyeji .kuku ninao wachache tu c wengi.hivi juzi nimeanza kuona wanaumwa ugonjwa kama kukohoa hivi.nilipochunguza nikagundua vitu kama kamasi puani .sasa sijajua ni ugonjwa gani Na tiba yake ni IPI .kama nitapata dawa ya kienyeji itakuwa poa sana.
 
Kinyesi cha rangi gan?

Uliwapa chanjo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ilitokea Kwa KUKU wangu, nilitembeza Kisu tu, ila usiogope hawafi wote...

Wape fluban
 
Write your reply...hahahahaha !! mwendo wa kisu tu
 
Back
Top Bottom