Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Nimeongeza maarifa. ThanksYai linaweza kutagwa bila jogoo...jogoo kitu pekee anafanya ni kuhamisha chromosomes kwenda kwenye yai teke lililo mwilini mwa kuku jike ili kuunda kiumbe kitachokua ndani ya yai pindi litapotagwa...
Hata wanawake huwa wanadondosha yai/mayai kila mwezi na hutolewa na damu ya hedhi kama hayajarutuboshwa na mbegu za kiume...
Yai ni seli inayojitegemea...
Nimewafungia sana naogopa kideli (mdondo)Labda kama kuna jogoo jirani anayezengea vinginevyo hapana
Kwa vipi na kivipi mkuu?Huyo atakuwa anakula mayai ya chatu,[emoji125][emoji125][emoji1]
Ugonjwa ndo unaotutesa ndugubila jogoo hawawezi kutotoa we kula tu mayai au wapeleke kwa jirani kama kuna jogoo awapande
Duh inawezekana ukawa umenitamanisha sana tatizo litakuja kwenye umbaliView attachment 2408644
Njoo kwangu uchukue jogoo mambo yawe vizuri
Habari zenu
Nina kuku wa kienyeji hapa kwangu ambao nimewazuia wasizagae mtaani, sasa wiki hii kuku wote wakubwa wameanza kutaga na hapa sina jogoo hata mmoja
Je niendelee kula haya mayai au niwaachie kuna uwezekano wa kuja kuanguliwa?
Ata kula hayafai kuku akitaga bila kupandwa na jogoo yai lina kuwa tepe tepe siyo gumukulatu mayai hayawezi kutotolewa Hadi wapate jogoo
sio kweli likiwa tepetepe ujue kukuhuyo nimgonjwaAta kula hayafai kuku akitaga bila kupandwa na jogoo yai lina kuwa tepe tepe siyo gumu