Kuku wangu wengi wameugua ghafla msaada tafadhali.

Inaitwa KEPROCERYL (Hydrosoluble mix of antibiotics and vitamins). Angalia expire date, kuna mtindo wa kuuza dawa zilizoisha muda wake wa matumizi.

Sawa mkuu!
Nitakuwa Makini
 
Apolinary Pole sana mkuu,
nasikitika sikuiona hii post yako mapema, ila napenda kukupa ushauri

chukua kuku mmoja ama wawili wahi ahsubuhi na mapema uwapeleke veterinary (Wizara ya mifugo) maeneo ya Tazara, ukifika pale getini watakuelekeza cha kufanya. ila Nikufahamishe ni kwamba kuku hao watapelekwa maabara kupasuliwa na kuchunguzwa tatizo lao ili watoe ushauri wa dawa utakayotumia. Ada yao nahisi si chini ya shs 3000/- inaweza kuwa imepanda.

Ushauri huu unahusu kuku wa kisasa na kienyeji, tena ifikapo wiki ya tatu au ya nne peleka kuku pale wakawaangalie na kushauri chanjo inayofuata ama lolote lile. Kama unatumia chakula spesheli peleka sample nayo ili wakague nini kimekosekana na nini kimezidi ili wakushauri aina ya chakula unachopaswa kutumia kwa aina ya kuku ulionao.

Hatari ya kwenda duka la madawa bila prescription ya wataalam ni kucheza bahati nasibu.

Last edited by a moderator:

Vizuri sana Paw
Pamoja na hayo ninasikitika kuwa siko Dar,
Niko Arusha nitawapeleka kwa Madaktari gani wa Mifugo kwa huku Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Apolinary Kwa kuwa upo huko, fika kampuni ya Arusha Chicks wana maabara mkuu.

Au fika mkoani uulizie maabara za mifugo zilipo ili kuweza kuokoa kuku na fedha ulizowekeza

Last edited by a moderator:
hawa kuku mdomoni wana kama majimaji au kamasi!!! halaf wanakoroma!!!

Kideri hicho dogo; hukuwachanja ndo maana wameugua. Nakushauri uwauze wote upate hela ukaanze upya. Magonjwa mengine yanavumilika lakini kideri ni noma.
 
Yaani wewe acha
Kila siku ni kuku watano wanakufa,
Lakini jana nimewapeleka Sokoni nikawapigs bei wote sasa nianze upya
 
Unawafugia bandani au wanatembea nje?

Ukileta wengine hakikisha kwanza unafanya usafi wa kutosha kwenye mabanda kabla ya kuingiza kuku wapya. Bei ya kuku huko ikoje?
 
Bei ya kuku mtetea kwa wastani ni 8,000
Lakini Jogoo ni kuanzia 10,000 mpaka 15,000
Kwa maeneo mengi Arusha.
 
Je kuna dawa za kupuliza kwenye banda ili niweze kuweka kuku wapya!!!
 
mbona bei chini sana wakati naambiwa maisha ya Arusha yako juu? Hapa Mwanza mitetea tshs. 10,000 hadi 12,000/ majogoo Tshs 15,000 - 20,000 kutegemeana na ukubwa wa kuku
 
Kama kuna sakafu kadeki kwa kwa sabuni ya detto; kama hujapiga sakafu jaribu kumwaga majivu kwa wingi walau siku 10 / 15 kabla ya kuingiza kuku wapya.
 
mbona bei chini sana wakati naambiwa maisha ya Arusha yako juu? Hapa Mwanza mitetea tshs. 10,000 hadi 12,000/ majogoo Tshs 15,000 - 20,000 kutegemeana na ukubwa wa kuku

Bei hio ni kutoka kwa Wakulima yaani ambao wanafuga pembezoni mwa mji,
Lakini Mjini kabisa hakuna Bei Maalum kila mtu ana bei yake kulingana na Centre aliyopo!!!
 
mbona bei chini sana wakati naambiwa maisha ya Arusha yako juu? Hapa Mwanza mitetea tshs. 10,000 hadi 12,000/ majogoo Tshs 15,000 - 20,000 kutegemeana na ukubwa wa kuku

Inategemea na soko sio kote bei ziko hivyo!
Mimi huwa nanunua soko la mkuyuni kuku wa kitoweo Tetea napata kwa 7000-8000 na kuna kipindi nilikuwa nachukua hadi kwa 6000!
Ila Kirumba na mjini hizo ndo bei zake!
 
Unaongelea kuku wa kienyeji au yale makuku matahila??? Kisesa penyewe pembeni kabisa na jiji ndo kuku wanapatikana kwa bei ya 7/8 elfu - kuanzia Igoma bei ni juu mkuu. Mi nafugia Shamaliwa na wateja wangu wanakuja kuchukulia nyumbani kwangu.
 
Je kuna dawa za kupuliza kwenye banda ili niweze kuweka kuku wapya!!!

paka chokaa ya nyumba mara 2 kwa mwaka huua vijidudu vya magonjwa. na hakikisha unaweka matandazo ya maranda kuzuwia unyevu. usafi wa vyombo
 
osha vyombo kilasiku, usiruhusu mtu kuingia bandani, weka maji ya dawa (deto,mafuta ya taa) kwenye karai ili mtu akiingia akanyage kwanza humo. pia pawe na viatu maarumu hata kwako unapotoka nje ya kwako ukitaka kuingia bandani uvae
 
Sawa mkuu.
Vizuri sana.
 
Apolinary Pole sana mkuu,
nasikitika sikuiona hii post yako mapema, ila napenda kukupa ushauri

chukua kuku mmoja ama wawili wahi ahsubuhi na mapema uwapeleke veterinary (Wizara ya mifugo) maeneo ya Tazara, ukifika pale getini watakuelekeza cha kufanya. ila Nikufahamishe ni kwamba kuku hao watapelekwa maabara kupasuliwa na kuchunguzwa tatizo lao ili watoe ushauri wa dawa utakayotumia. Ada yao nahisi si chini ya shs 3000/- inaweza kuwa imepanda.

Ushauri huu unahusu kuku wa kisasa na kienyeji, tena ifikapo wiki ya tatu au ya nne peleka kuku pale wakawaangalie na kushauri chanjo inayofuata ama lolote lile. Kama unatumia chakula spesheli peleka sample nayo ili wakague nini kimekosekana na nini kimezidi ili wakushauri aina ya chakula unachopaswa kutumia kwa aina ya kuku ulionao.

Hatari ya kwenda duka la madawa bila prescription ya wataalam ni kucheza bahati nasibu.

Ushauri mzuri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom