Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale Bamaga Petrol station lilikuwa shamba languHuyu johnthebaptist ni mzee /ajuza mpuuzi kabisa. Kila kitu analeta siasa. these are important issues touching the core of people lives!
Kwahyo tuendelee kuwa na mashamba mjini? Ni sawa na serekali ingeendelea kuwa na nyumba za miti kariakoo. Kunawakati kama wewe n mtu muelewa hata kama unashamba mjini, ni Jambo la muda tu lazima kunawakati utalazimishwa kuuza kama hukuchukua maamuzi mapema. Maeneo ya kulima yapo mengi tu kwa hiyo mwenye shamba hanyang'anywi Bali atauzaakitendewa hivyo anayekuhusu, baba, mama, kaka, dada utafurahi? au unasema kwa vile umebahatika na hivho ulichonacho (kama kipo anyway)
Moja ya ujinga wa hali ya juu ni hili lla kuchukua ardhi ya wakulima wadogo kiholela na kwa kasi na kupima viwanja vya .makazi. Kwanza wanachochea na kuongeza tatizo la ajira, hao wakulima wanaoporwa mashamba yao wanakuwa hawana njia ya kipato hivyo kuongeza matatizo ya kijamii kama wizi, umalaya na uhalifu mwingine pamoja na kufanya familia nyingi zitegemee uchuuzi kama njia ya kuishi; halafu hao hao viongozi wanashangaa machinga kuongezeka mijini na kuwafukuza wanasahau kuwa ni wale walionyang" anywa masha.mba yakapimwa viwanja. Wizara yenyewe inajinasibu kuwa wanaingiza mabilioni kama kodi ya ardhi kila mwaka kwa kuongeza viwanja vilivyopimwa lakini wanasahau kuwa ardhi hiyo hiyo ilikuwa inazalisha mapato zaidi ya hiyo kodi ya ardhi ambayo ni kipato cha moja kwa moja kwa familia zinazolima katika ardhi hiyo, mkulima analima na kuvuna mara mbila kwa,mwaka au hata,mara tatu halmashauri zinapata kodi kwa njia ya ushuru wa mazao yaliyokuwa yakliimwa katika viwqnja hivyo wakati havijapimwq.Kuna hii trend ambayo idara ya ardhi imeivalia njuga/imeishupalia ya kugeuza mashamba ya wakulima wadogo kuwa miji na hivyo kudai kupimwa viwanja.
Wanasahau (na wakulima wanakubali) kuwa haya mashamba ndiyo maisha ya watu, kama wao wanavyotegemea mishahara kuishi. This is the livelihood of these peasants, transforming their land to town plots means depriving them of their "OXYGEN" . Haya mashamba ndiyo uhai wao, maana wanakula na kuishi kwa kulima ardhi hiyo. Elimu , afya etc ya watoto wao na wao inategemea mashamba, sasa unapoyageuza viwanja ni kuwaua. masikini na wao wanashangilia kuwa baptised kuwa wako mjini.
mfano: Tanga maeneo kama Mapujoni . Mgwisha etc ni Tanga city and therefore vulnerable to be divided into so called PLOTS.
Tuache mambo ya kuiga urbanisation ya industrialized world. Wao kwa viwanda vyao wanaweza kuajiri na kuwapa watu fedha za kusihi hata kama huna ajira.
asante kwa observation nzuri sanaMoja ya ujinga wa hali ya juu ni hili lla kuchukua ardhi ya wakulima wadogo kiholela na kwa kasi na kupima viwanja vya .makazi. Kwanza wanachochea na kuongeza tatizo la ajira, hao wakulima wanaoporwa mashamba yao wanakuwa hawana njia ya kipato hivyo kuongeza matatizo ya kijamii kama wizi, umalaya na uhalifu mwingine pamoja na kufanya familia nyingi zitegemee uchuuzi kama njia ya kuishi; halafu hao hao viongozi wanashangaa machinga kuongezeka mijini na kuwafukuza wanasahau kuwa ni wale walionyang" anywa masha.mba yakapimwa viwanja. Wizara yenyewe inajinasibu kuwa wanaingiza mabilioni kama kodi ya ardhi kila mwaka kwa kuongeza viwanja vilivyopimwa lakini wanasahau kuwa ardhi hiyo hiyo ilikuwa inazalisha mapato zaidi ya hiyo kodi ya ardhi ambayo ni kipato cha moja kwa moja kwa familia zinazolima katika ardhi hiyo, mkulima analima na kuvuna mara mbila kwa,mwaka au hata,mara tatu halmashauri zinapata kodi kwa njia ya ushuru wa mazao yaliyokuwa yakliimwa katika viwqnja hivyo wakati havijapimwq.
Kwa kupima viwanja holela tunatengeneza taifa la fanilia ambazo ni jobless, au zinategemea umachinga, bodaboda, umalaya misheni town ili kuishi. Umaskini ule abject poverty hauwezi kuisha.
Kiuchumi huwa tunashugulika zaidi na employment kati ya natatizo mbalimbali ya nchi kwa sababu inaleta stability katika nchi na kuondoa political and social turmoils ndio maana nchi zilizoendelea ziko makini sana na vitu vinavyotemper au kusababusha ajira zipotee. Pia watu wakistaafu kazi kutokana na pensheni kiduchu hutegemea kujikimu kwa kulima sasa kwa kasi hii ya upimaji hawatakuwa na mashamba ya kulima hivyo kushindwa kumudu maisha baada ya kustaafu kumbuka hata bima ya afya wanabanwa sana kwa kuondolewa matibabu muhimu hivyo kutegemea kipato ili wasurvive kiafya; sasa kwa mwendo huu wa kunyang'anywa ardhi watasbindwa kuendesha maisha yao hivyo kufa mapema.
Wako watu watakuja na argument za ujenzi holela lakini waelewe nchi hii imeshindwa kulinda ardbi ya kilimo cha wakulima wadogo na inafanywa makusudi. Ardhi yote ya wakulima wakubwa inalindwa kisheria na imepimwa na hao hao wizara ya ardhi na hata kuwe na uhitaji namba gani wa viwanja haIguswi.
Japan ni nchi ndogo mara nane ya Tanzania lakini ni vigumu sana kubadili ardhi yake ya kilimo kuwa makazi ingawa wako wengi kama mara mbili ya watanzania..
Uzalendo na kufikiri criticalky ni tatizo kubwa kwa wenye nafasi mbalimbali za maamuzi.
AhahahahahaPale Bamaga Petrol station lilikuwa shamba langu
Sasa ulitaka niendelee kulima hadi leo?
Nendeni mkalime maporini huko Machame nk
Sasa Mji ukihitaji makazi inakuaje? Kama ni kulima watalima pembeni ya Mji ,ukikua na kuwakuta tena wanapisha hivyo hivyo..Kuna hii trend ambayo idara ya ardhi imeivalia njuga/imeishupalia ya kugeuza mashamba ya wakulima wadogo kuwa miji na hivyo kudai kupimwa viwanja.
Wanasahau (na wakulima wanakubali) kuwa haya mashamba ndiyo maisha ya watu, kama wao wanavyotegemea mishahara kuishi. This is the livelihood of these peasants, transforming their land to town plots means depriving them of their "OXYGEN" . Haya mashamba ndiyo uhai wao, maana wanakula na kuishi kwa kulima ardhi hiyo. Elimu , afya etc ya watoto wao na wao inategemea mashamba, sasa unapoyageuza viwanja ni kuwaua. masikini na wao wanashangilia kuwa baptised kuwa wako mjini.
mfano: Tanga maeneo kama Mapujoni . Mgwisha etc ni Tanga city and therefore vulnerable to be divided into so called PLOTS.
Bukoba, Katoma na Kibeta walitaka kufanya hivyo, thank God watu waligundua na kukataa kuwa zile ndizo ajira zao/ofisi zao kama wao walivyo maofisini
Tuache mambo ya kuiga urbanisation ya industrialized world. Wao kwa viwanda vyao wanaweza kuajiri na kuwapa watu fedha za kusihi hata kama huna ajira.
Mjini hakuna mashamba mkuuWakulima wakae nje ya mji waje kuuza mazao mjini, jiji haliwezi kuwa na maeneo makubwa ya mashamba.
Hii ndio pointIfike mahali wale ambao mashamba yao hutwaliwa wawe wanalipwa fidia ili ziwasaidie kujikimu. Au plot ziwe zinapimwa lakini wao ndio wawe na wauzaji wa plots zilizo kwenye mashamba yao.
Nakumbuka wakati wa kuanzishwa vijiji vya ujamaa familia nyingi sana ziliathirika kiuchumi baada ya ardhi zao kutwaliwa. Tusiendekeze tabia za kuwasukumia watu wetu kwenye umaskini.
Hapana ,ukichukua ardhi yao ni ama walipwe fidia au watakonunua wao wenye mashamba wawe na 50% ya thamani ya plots Ili sasa kuwawezesha kwenda Nje ya Mji.kununua maeneo Mengine au kubadili shughuli za uchumi.Moja ya ujinga wa hali ya juu ni hili lla kuchukua ardhi ya wakulima wadogo kiholela na kwa kasi na kupima viwanja vya .makazi. Kwanza wanachochea na kuongeza tatizo la ajira, hao wakulima wanaoporwa mashamba yao wanakuwa hawana njia ya kipato hivyo kuongeza matatizo ya kijamii kama wizi, umalaya na uhalifu mwingine pamoja na kufanya familia nyingi zitegemee uchuuzi kama njia ya kuishi; halafu hao hao viongozi wanashangaa machinga kuongezeka mijini na kuwafukuza wanasahau kuwa ni wale walionyang" anywa masha.mba yakapimwa viwanja. Wizara yenyewe inajinasibu kuwa wanaingiza mabilioni kama kodi ya ardhi kila mwaka kwa kuongeza viwanja vilivyopimwa lakini wanasahau kuwa ardhi hiyo hiyo ilikuwa inazalisha mapato zaidi ya hiyo kodi ya ardhi ambayo ni kipato cha moja kwa moja kwa familia zinazolima katika ardhi hiyo, mkulima analima na kuvuna mara mbila kwa,mwaka au hata,mara tatu halmashauri zinapata kodi kwa njia ya ushuru wa mazao yaliyokuwa yakliimwa katika viwqnja hivyo wakati havijapimwq.
Kwa kupima viwanja holela tunatengeneza taifa la fanilia ambazo ni jobless, au zinategemea umachinga, bodaboda, umalaya misheni town ili kuishi. Umaskini ule abject poverty hauwezi kuisha.
Kiuchumi huwa tunashugulika zaidi na employment kati ya natatizo mbalimbali ya nchi kwa sababu inaleta stability katika nchi na kuondoa political and social turmoils ndio maana nchi zilizoendelea ziko makini sana na vitu vinavyotemper au kusababusha ajira zipotee. Pia watu wakistaafu kazi kutokana na pensheni kiduchu hutegemea kujikimu kwa kulima sasa kwa kasi hii ya upimaji hawatakuwa na mashamba ya kulima hivyo kushindwa kumudu maisha baada ya kustaafu kumbuka hata bima ya afya wanabanwa sana kwa kuondolewa matibabu muhimu hivyo kutegemea kipato ili wasurvive kiafya; sasa kwa mwendo huu wa kunyang'anywa ardhi watasbindwa kuendesha maisha yao hivyo kufa mapema.
Wako watu watakuja na argument za ujenzi holela lakini waelewe nchi hii imeshindwa kulinda ardbi ya kilimo cha wakulima wadogo na inafanywa makusudi. Ardhi yote ya wakulima wakubwa inalindwa kisheria na imepimwa na hao hao wizara ya ardhi na hata kuwe na uhitaji namba gani wa viwanja haIguswi.
Japan ni nchi ndogo mara nane ya Tanzania lakini ni vigumu sana kubadili ardhi yake ya kilimo kuwa makazi ingawa wako wengi kama mara mbili ya watanzania..
Uzalendo na kufikiri criticalky ni tatizo kubwa kwa wenye nafasi mbalimbali za maamuzi.
Kama umewahi kufika Arusha Jijini pale Burka Estate ni wapiHatuwezi kuwa na mashamba mjini wewe mbwiga!
Miji inakua kwa kujenga viwanda, siyo kuwanyanganya watu ardhi yao kukata viwanja kuwauzia wanaokimbia vijijiniSasa Mji ukihitaji makazi inakuaje? Kama ni kulima watalima pembeni ya Mji ,ukikua na kuwakuta tena wanapisha hivyo hivyo..
Sasa unataka iwaje?