Kukua kwa Uchumi siyo madaraja na miundombinu tu, bali PPP (Purchasing Power Parity)

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Namshangaa yeyote anayejinasibu kukuza uchumi wakati bado hali ya Watanzania waliowengi ni maskini hawana uwezo wa kununua hata mahitaji muhimu.

PPP ya Tanzania inazidiwa na Kenya, Rwanda, Uganda

Maswali ya Msingi
1. Wangapi wana uwezo wa kufanya mahemezi ya kila siku.

2. Wangapi Waliokuzunguka wana uwezo wa kwenda dukani kununua sukari, Unga, Mchele na Mafuta ya Kula.

3. Wangapi wana uwezo wa kununua hata hayo maji ambayo ni wajibu wa serikali kuyaleta?

Britannica
 
Basi tuseme toka Tanzania imeumbwa uchumi wa Watanzania haujakua!

Uzuri wa Tanzania kila mtu ni mchumi!

Jack of all trades, master of none!
Kila siku nasema haya ndio maneno ya siasa kwenye hoja za msingi?

Kama kila utawala tunapigwa hela na watawala wanasema ni siasa alafu tunaamini basi kila siku wanatuzarau.

Kama mtawala anaandika kitabu kuwa nilichukuwa hela wakati wa utawala wake hakika tunapaswa kujitafakari , kama kichwa kipo kwa ajili ya nini yani ni mfuko wa kubebea meno au pambo?
 
Nafikiri kabla hujaongea lazima ujue tofauti ya national prosperity
Na individual prosperity

Vyote vinaangaliwa hapo
Nchi inaweza ikaendelea lakini watu wake masikini ...na watu wanaeza endelea lakini nchi masikini. Ndyo tunavoongelea uchumi kukua tunaongelea uwezo wa nchi kuboresha miundo mbinu na social services na hilo ndiyo linaleta individual prosperity...

So nchi kujenga madaraja ,barabara ,mabwawa ya umeme,hospital....na hivi ndyo vinastimulate personal or individual prosperity.....
Huwez kufanya biashara nyingi Kama hakuna umeme....so umeme unazalisha ajira milion (jiulize biashara zote zinazotegemea umeme stationaries,viwanda,ufundi machenika,utengezaji wa vifaa vya ujenzi,juices,vinywaji baridi,maduka ya samaki,n.k....kwakweli huwezi tenganisha maendeleo ya biashara ya mtu na umeme

Barabara zinawezesha wakulima kusafirisha mahindi maharage,mifugo au bidhaa kutoka eneo moja had jingine....jiulize kusingekua na barabara nzur vitu mjini vingekuaje Bei zake tusingeweza kuishi....miundo mbinu inavokua mizur ndivo inakua rahisi kusafirisha bidhaa na Bei inakua chini

Sasa unavoniambia barabara na miundo mbinu haifanyi nchi kuendelea nakushangaa. Sehemu zote ambazo watu wanapesa na wanauwezo wa kujikimu utaona miundo mbinu na huduma za jamii ziko vizur

Mfano Dar es Salaam linganisha na Lindi...tofaut iko hapo....
So usitudanganye hamna nchi inayogawa hela kwa raia kukuwezesha ununue vitu....nchi zote dunia na serikali zote zinatengeneza mazingira ,kuboresha miundo mbinu na huduma watu waweze kuwekeza,kuzalisha ajira na kufanya biashara na hivo kua na pesa
 
Nchi inaweza ikaendelea lakini watu wake masikini ...na watu wanaeza endelea lakini nchi masikini...
Maelezo mafupi, mepesi kabisa na ya kueleweka. Wasipokuelewa tena ujue tu kwamba wanataka uwaambie wanachotaka wao. Asante umeeleza nilichotaka kuandika
 
Mtamtetea sana Meko lakini hamtafanikiwa.

Ukweli ni kwamba hakuna mtanzania anayeshangilia majigambo yenu ya kujenga madaraja, hii inatokana na ukweli kwamba raia wameishi maisha magumu sana katika awamu hii ikilinganishwa na awamu zilizotangulia.

Meko ni mbinafsi sana. We uliona wapi inachukua miaka mitano watumishi wa umma wanatumikia wananchi pasi kupewa nyongeza ya mshahara wala kupandishwa madaraja!?
Basi tuseme toka Tanzania imeumbwa uchumi wa Watanzania haujakua!

Uzuri wa Tanzania kila mtu ni mchumi!

Jack of all trades, master of none!
 
britanicca,
Vigezo vya uchumi wa nchi kukua vinawekwa na kupimwa na World Bank, siyo na Britannica! World Bank imeshautambua uchumi wa nchi yetu umekuwa hadi kufikia level ya wa middle income country. Wewe badala ya kufurahi unapinga hilo na kuja na vigezo visivyo na kichwa wala miguu!

Tambua kwamba hata huko kwenye nchi za uchumi wa juu kama Amerika na Ulaya wako watu wengi tu kupita hata kwetu ambao ni masikini wa kutupwa. Utajiri wa mtu mmoja unategemea na juhudi zake za kufanya kazi. Hakuna serikali ye yote hapa duniani inayogawia wananchi wake bure sukari, mchele, unga, maharage nk.

Usipofanya kazi ni haki yako kufa au kubaki masikini wa kutupwa daima. Hata vitabu vitakatifu vinasema hivyo na JPM kila mara anawakumbusha hilo. Watu wachape kazi. Tuna ardhi kubwa yenye rutuba tele ambayo kila mmoja wetu kuweza kulima, tofauti na nchi hizo za amerika na ulaya ambako ardhi ni ndogo na inamilikiwa na mabwanyenye wachache tu.
 
Mtamtetea sana Meko lakini hamtafanikiwa.

Ukweli ni kwamba hakuna mtanzania anayeshangilia majigambo yenu ya kujenga madaraja, hii inatokana na ukweli kwamba raia wameishi maisha magumu sana katika awamu hii ikilinganishwa na awamu zilizotangulia.

Meko ni mbinafsi sana. We uliona wapi inachukua miaka mitano watumishi wa umma wanatumikia wananchi pasi kupewa nyongeza ya mshahara wala kupandishwa madaraja!?
Kama unataka mshahara mkubwa soma ulingane na huyo anayepata mshahara kukuzidi..nyongeza haitakufikisha popote, au acha kuajiriwa ukajiajiri mwenyewe ujilipe unavyotaka..bora utumwa wa mwili kuliko utumwa wa akili, acha kazi kama haikulipi, wapo watakaofanya hiyo kazi bila kujali nyongeza ya mshahara..malalamiko ya nini.
 
Malimbukeni wapuuzi kweli eti uchumi wa Kati ? Uchumi wa kati watu wako dhoofu lihali kimaisha hata aibu hayana malimbukeni.
 
Nafikiri kabla hujaongea lazima ujue tofauti ya national prosperity
Na individual prosperity

Vyote vinaangaliwa hapo
Nchi inaweza ikaendelea lakini watu wake masikini ...na watu wanaeza endelea lakini nchi masikini. Ndyo tunavoongelea uchumi kukua tunaongelea uwezo wa nchi kuboresha miundo mbinu na social services na hilo ndiyo linaleta individual prosperity...

So nchi kujenga madaraja ,barabara ,mabwawa ya umeme,hospital....na hivi ndyo vinastimulate personal or individual prosperity.....
Huwez kufanya biashara nyingi Kama hakuna umeme....so umeme unazalisha ajira milion (jiulize biashara zote zinazotegemea umeme stationaries,viwanda,ufundi machenika,utengezaji wa vifaa vya ujenzi,juices,vinywaji baridi,maduka ya samaki,n.k....kwakweli huwezi tenganisha maendeleo ya biashara ya mtu na umeme

Barabara zinawezesha wakulima kusafirisha mahindi maharage,mifugo au bidhaa kutoka eneo moja had jingine....jiulize kusingekua na barabara nzur vitu mjini vingekuaje Bei zake tusingeweza kuishi....miundo mbinu inavokua mizur ndivo inakua rahisi kusafirisha bidhaa na Bei inakua chini

Sasa unavoniambia barabara na miundo mbinu haifanyi nchi kuendelea nakushangaa. Sehemu zote ambazo watu wanapesa na wanauwezo wa kujikimu utaona miundo mbinu na huduma za jamii ziko vizur

Mfano Dar es Salaam linganisha na Lindi...tofaut iko hapo....
So usitudanganye hamna nchi inayogawa hela kwa raia kukuwezesha ununue vitu....nchi zote dunia na serikali zote zinatengeneza mazingira ,kuboresha miundo mbinu na huduma watu waweze kuwekeza,kuzalisha ajira na kufanya biashara na hivo kua na pesa
Okay
 
Mtamtetea sana Meko lakini hamtafanikiwa.

Ukweli ni kwamba hakuna mtanzania anayeshangilia majigambo yenu ya kujenga madaraja, hii inatokana na ukweli kwamba raia wameishi maisha magumu sana katika awamu hii ikilinganishwa na awamu zilizotangulia.

Meko ni mbinafsi sana. We uliona wapi inachukua miaka mitano watumishi wa umma wanatumikia wananchi pasi kupewa nyongeza ya mshahara wala kupandishwa madaraja!?
Exactly
 
Namshangaa yeyote anayejinasibu kukuza uchumi wakati bado hali ya Watanzania waliowengi ni maskini hawana uwezo wa kununua hata mahitaji muhimu.

PPP ya Tanzania inazidiwa na Kenya, Rwanda, Uganda

Maswali ya Msingi
1. Wangapi wana uwezo wa kufanya mahemezi ya kila siku.

2. Wangapi Waliokuzunguka wana uwezo wa kwenda dukani kununua sukari, Unga, Mchele na Mafuta ya Kula.

3. Wangapi wana uwezo wa kununua hata hayo maji ambayo ni wajibu wa serikali kuyaleta?

Britannica
Brita
Naona kama vile umeleta swala la Yai na kuku nani kwanza. Bila ya kukuza Uchumi hiyo PPP inakujaje?

Labda ungesema GDP growth ya Tanzania ni bandia au growth haitoshelezi Kuona mabadiriko kwa wananchi. Kama growth ingekua zaidi ya 10% labda tungejisikia mtaani. Hii ya 5% ni ndogo kujisikia that is likely.

PPP inaendana na GDP growth I mean real growth siyo hiyo ya Mwigulu
 
Hiyo PPP yako umeitoa wapi? hujui kuwa ya bongo ni zaidi ya Kenya, actually TZ inaongoza in the region kwa PPP kubwa
GDP per Capita PPP in Kenya is expected to reach 6008.00 USD by the end of 2024, according to Trading Economics global macro models and analysts expectations. In the long-term, the Kenya GDP per capita PPP is projected to trend around 6344.00 USD in 2025 and 6731.00 USD in 2026, according to our econometric model

GDP per Capita PPP in Tanzania averaged 2459.61 USD from 1990 until 2023, reaching an all time high of 3580.78 USD in 2023 and a record low of 1670.81 USD in 1994. This page provides - Tanzania GDP per capita PPP - actual values, historical data, forecast, chart, statistics, economic calendar and news.
 
Nafikiri kabla hujaongea lazima ujue tofauti ya national prosperity
Na individual prosperity

Vyote vinaangaliwa hapo
Nchi inaweza ikaendelea lakini watu wake masikini ...na watu wanaeza endelea lakini nchi masikini. Ndyo tunavoongelea uchumi kukua tunaongelea uwezo wa nchi kuboresha miundo mbinu na social services na hilo ndiyo linaleta individual prosperity...

So nchi kujenga madaraja ,barabara ,mabwawa ya umeme,hospital....na hivi ndyo vinastimulate personal or individual prosperity.....
Huwez kufanya biashara nyingi Kama hakuna umeme....so umeme unazalisha ajira milion (jiulize biashara zote zinazotegemea umeme stationaries,viwanda,ufundi machenika,utengezaji wa vifaa vya ujenzi,juices,vinywaji baridi,maduka ya samaki,n.k....kwakweli huwezi tenganisha maendeleo ya biashara ya mtu na umeme

Barabara zinawezesha wakulima kusafirisha mahindi maharage,mifugo au bidhaa kutoka eneo moja had jingine....jiulize kusingekua na barabara nzur vitu mjini vingekuaje Bei zake tusingeweza kuishi....miundo mbinu inavokua mizur ndivo inakua rahisi kusafirisha bidhaa na Bei inakua chini

Sasa unavoniambia barabara na miundo mbinu haifanyi nchi kuendelea nakushangaa. Sehemu zote ambazo watu wanapesa na wanauwezo wa kujikimu utaona miundo mbinu na huduma za jamii ziko vizur

Mfano Dar es Salaam linganisha na Lindi...tofaut iko hapo....
So usitudanganye hamna nchi inayogawa hela kwa raia kukuwezesha ununue vitu....nchi zote dunia na serikali zote zinatengeneza mazingira ,kuboresha miundo mbinu na huduma watu waweze kuwekeza,kuzalisha ajira na kufanya biashara na hivo kua na pesa
In short Infrastructure investment na vingine vinakuja automatically
 
britanicca,
Vigezo vya uchumi wa nchi kukua vinawekwa na kupimwa na World Bank, siyo na Britannica! World Bank imeshautambua uchumi wa nchi yetu umekuwa hadi kufikia level ya wa middle income country. Wewe badala ya kufurahi unapinga hilo na kuja na vigezo visivyo na kichwa wala miguu!

Tambua kwamba hata huko kwenye nchi za uchumi wa juu kama Amerika na Ulaya wako watu wengi tu kupita hata kwetu ambao ni masikini wa kutupwa. Utajiri wa mtu mmoja unategemea na juhudi zake za kufanya kazi. Hakuna serikali ye yote hapa duniani inayogawia wananchi wake bure sukari, mchele, unga, maharage nk.

Usipofanya kazi ni haki yako kufa au kubaki masikini wa kutupwa daima. Hata vitabu vitakatifu vinasema hivyo na JPM kila mara anawakumbusha hilo. Watu wachape kazi. Tuna ardhi kubwa yenye rutuba tele ambayo kila mmoja wetu kuweza kulima, tofauti na nchi hizo za amerika na ulaya ambako ardhi ni ndogo na inamilikiwa na mabwanyenye wachache tu.
Kuna mabwanyenye lakini kuna middle class, Tanzania hakuna Middle class
 
GDP per Capita PPP in Kenya is expected to reach 6008.00 USD by the end of 2024, according to Trading Economics global macro models and analysts expectations. In the long-term, the Kenya GDP per capita PPP is projected to trend around 6344.00 USD in 2025 and 6731.00 USD in 2026, according to our econometric model

GDP per Capita PPP in Tanzania averaged 2459.61 USD from 1990 until 2023, reaching an all time high of 3580.78 USD in 2023 and a record low of 1670.81 USD in 1994. This page provides - Tanzania GDP per capita PPP - actual values, historical data, forecast, chart, statistics, economic calendar and news.
Mkuu Interested Observer, ukitoa data, weka na the source.
P
 
Back
Top Bottom